Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Unajua Gaza wamekufa watu wangapi Hadi Sasa ?Hii ndiyo kitaalam tunasema mfa maji haachi kutapatapa.
Atuambie kwanza kama ameshawaangamiza Hamas wote na pia kumkamata/kumuua Yahya Sinwar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua Gaza wamekufa watu wangapi Hadi Sasa ?Hii ndiyo kitaalam tunasema mfa maji haachi kutapatapa.
Atuambie kwanza kama ameshawaangamiza Hamas wote na pia kumkamata/kumuua Yahya Sinwar.
Ngoja wapate kwanza mamlaka kamili ya kiutawala halafu muombe mechi ya kirafiki.Kuwa serious kidogo, Hamas unajua ni kama kuku wa kienyeji hawatulii sehemu moja, waambie wapigane kama jeshi kamili waende frontline dhidi ya Israel uone kama watabaki hata mmoja..
Usisahau kumuita na huyo Yahaya wako!.
Katika miezi yote 8+ ya vita, wamefanikiwa kuwaokoa mateka wasiozidi watano!Vipi kabla hajapeleka majeshi kusini mwa Lebanoni mateka wameshapatikana?
Hata Sadam Hussein alisifiwa mwishowe alinyongwa, hata ile ajali ya Helkopta Iran Ni kazi ya MossadIsreli akipogana tena vita kama vya gaza niite mbwa .huouwezo hana tena
Mipaka mitakatifu ya nchi ya mashogaWaziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpaknank mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .
Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakan mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana
Chanzo aljazeera
USSR
Sadam alidhuriwa na hao makhaini nchi za kiarabu za Gulf states pamoja na Egypt+ Ukraine, Israel, UK, Australia, S Korea, Japan, Norway, Italy jumla nchi 46 😄Hata Sadam Hussein alisifiwa mwishowe alinyongwa, hata ile ajali ya Helkopta Iran Ni kazi ya Mossad
Sawa tutaona safari hi nani atakaye liaMtukuja tena kulia lia
Ona akili na mawazo ya vijana wa mnyaaazi ndo maana tukisema nyie ni mabogus mna tumaindiIsreli akipogana tena vita kama vya gaza niite mbwa .huouwezo hana tena
Myahudi wa Tegeta kwa Ndevu😂😂😂Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpaknank mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .
Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakan mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana
Chanzo aljazeera
USSR
Mtu aliekwisha kukuita Kima atashindwaje kukuita Mbwa!?Isreli akipogana tena vita kama vya gaza niite mbwa .huouwezo hana tena
Ndo hapo sasaMtu aliekwisha kukuita Kima atashindwaje kukuita Mbwa!?
Kaa kwa kutulia!
Huyo aliuwawa akiwa kwenye shimoHii ndiyo kitaalam tunasema mfa maji haachi kutapatapa.
Atuambie kwanza kama ameshawaangamiza Hamas wote na pia kumkamata/kumuua Yahya Sinwar.
Tangu lini kuua raia ikawa kazi ngumu kwa jeshi?.Sijui kwanini wafia dini wanaichukulia poa sana israel wanauawa lakini bado wabishi
R.I.P wateule wa mchongo...super heavyweight LGBTQWaziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la Rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpakani mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .
Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakani mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana
Chanzo aljazeera
USSR
Sawa myahudi wa vikindu nenda Katoe tena dada yako ili mpate uzao wa kiuyahudi ..msiwe kama mmekatwa kichwa ..vita sio kama kusonga ugali wa mumeo ..Israeli yupo hoi amepigana vita kwa miezi 8 ili ashinde kwa gharma yoyote ili na misaada mbali mbali lakini yupo hoi bin taabaanOna akili na mawazo ya vijana wa mnyaaazi ndo maana tukisema nyie ni mabogus mna tumaindi
We unajiona uko serious kumuambia mwenzako awaambie hamasi waende front ??Kuwa serious kidogo, Hamas unajua ni kama kuku wa kienyeji hawatulii sehemu moja, waambie wapigane kama jeshi kamili waende frontline dhidi ya Israel uone kama watabaki hata mmoja..
Usisahau kumuita na huyo Yahaya wako!.
Si kasema Jana tu? Hata masaa 24 hayajaisha? Tusubiri tuone.Isreli akipogana tena vita kama vya gaza niite mbwa .huouwezo hana tena
Haezi mpeleka Dada yake ataenda yeye maana kanisa lisharuhusu ugasho wote ni watoto teule watapakana mafutaSawa myahudi wa vikindu nenda Katoe tena dada yako ili mpate uzao wa kiuyahudi ..msiwe kama mmekatwa kichwa ..vita sio kama kusonga ugali wa mumeo ..Israeli yupo hoi amepigana vita kwa miezi 8 ili ashinde kwa gharma yoyote ili na misaada mbali mbali lakini yupo hoi bin taabaan