Netanyahu: Tunaondoka Rafaa na kuhamia lebanon

Netanyahu: Tunaondoka Rafaa na kuhamia lebanon

Apige front zote 2......ana uhakika hamas kawamaliza?.....Hezbollah anabeba hadi watu wa iraq sio lebanon peke yake
Kupigana vita si mchezo ndugu. Hapo jana wamelazimisha Ultra Orthodox Jews students waingie jeshini kwa lazima na hii ni kinyume Cha Imani ya hao jamaa. Wao kazi yao ni kusoma dini tuu. Maana yake kitakuwa na uhaba wa reserve ya askari wakiendelea hivi. Hivyo kupigana ktk fronts zote mbili inahitaji mipango. Israel ilikuwa zaidi kiteknolojia ila hamas inawakumbusha kuwa si teknolojia tu. Vita inahitaji watu wa kufa vitani
 
Hasubutu kugusa hio Air port ya Lebanon afu hakuna dalili ya aina yoyote wamepata afu nani kawazuia kuingia si uwongo tu.

Israel kisha ambiwa na US wakati Iran alipo attack Usrael alizimbia US, UK, France, Germany na wengine wekeni kila silaha kumkingia kifua Israel natutapenya kuivuruga Israel kwa mda wa masaa 72 aliwajulisha iwe Hezbullah hapo karibu siataivuruga Israel.

Pata akili kidogo hebu msikilize huyu.

View: https://youtu.be/qi566mj1DJM?si=k0gryQ_hQoPU5cBJh

Hasubutu kugusa hio Air port ya Lebanon afu hakuna dalili ya aina yoyote wamepata afu nani kawazuia kuingia si uwongo tu.

Israel kisha ambiwa na US wakati Iran alipo attack Usrael alizimbia US, UK, France, Germany na wengine wekeni kila silaha kumkingia kifua Israel natutapenya kuivuruga Israel kwa mda wa masaa 72 aliwajulisha iwe Hezbullah hapo karibu siataivuruga Israel.

Pata akili kidogo hebu msikilize huyu.

View: https://youtu.be/qi566mj1DJM?si=k0gryQ_hQoPU5cBJ

Hueleweki nyoosha maelezo, kazi haijaanza ushaanza kupiga makelele
 
Hueleweki nyoosha maelezo, kazi haijaanza ushaanza kupiga makelele
Hawezi kugusa Lebanon huyo shoga kisha vuliwa nguo zake yuko uchi, zamani wajinga walikuwa wakiamini Israel ni super power kumbe hana lolote.

Hezbullah wameingia kila sehemu ya nchi yako ambayo sisi tunamini hio ni Palestine yeye kaichukua kwa mabavu tu, wamechukua target watazo shambulia, afu isitoshe wanawambia mjipange, mnavyo taka tutapiga hapo hap, wamepanic mashoga kichizi.

Israel ataishia kujibu kwa kupiga tu ile unanipiga na mimi nakupiga lakini full war hawezi na hio yeye anauwa viongozi wawili kwa kusaidiwa nadrones za UK zinazo spy kutokea Cyprus. Na Hezbullah
anawauwa wanajeshi wake wengi kwa kupiga camp zake.

Kuhusu Cyprus Nasurlah kampa warning Cyprus atapigika na yeye akileta ujinga.

Hio Cyprus inategemea watalii na hizo gas wakipigwa tu Missiles 20 kisha, huoni wanavyo panic.

Cyprus wanatetemeka huko usisikie maneno eti Europe watamkingia kifua, Europe yote ipo Gaza inamsaidia Israel nawamemshindwa Hamasi.
 
Kupigana vita si mchezo ndugu. Hapo jana wamelazimisha Ultra Orthodox Jews students waingie jeshini kwa lazima na hii ni kinyume Cha Imani ya hao jamaa. Wao kazi yao ni kusoma dini tuu. Maana yake kitakuwa na uhaba wa reserve ya askari wakiendelea hivi. Hivyo kupigana ktk fronts zote mbili inahitaji mipango. Israel ilikuwa zaidi kiteknolojia ila hamas inawakumbusha kuwa si teknolojia tu. Vita inahitaji watu wa kufa vitani
ndo maana mmarekani hataki jamaa aendelee kuharibu mambo, anaweza aibika mbeleni akihamia kwa hao wa lebanon huku nyuma hamas watajipanga wampige pia,,,,,na jamaa hana askari wa kutosha kuliamsha pande zote 2
 
Kupigana vita si mchezo ndugu. Hapo jana wamelazimisha Ultra Orthodox Jews students waingie jeshini kwa lazima na hii ni kinyume Cha Imani ya hao jamaa. Wao kazi yao ni kusoma dini tuu. Maana yake kitakuwa na uhaba wa reserve ya askari wakiendelea hivi. Hivyo kupigana ktk fronts zote mbili inahitaji mipango. Israel ilikuwa zaidi kiteknolojia ila hamas inawakumbusha kuwa si teknolojia tu. Vita inahitaji watu wa kufa vitani
Waambie hawa walokole .pia vita inategemea uchumi wa nchi hammas wanapigania nchi yao wakati Israeli ili aende vitan lazima again payroll kama motisha
 
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la Rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpakani mwa Lebanon kupambana na Hizbolah .

Kama kuna kima nafikiria Israeli itaicha mipakani mitakatifu ichezewe na magaidi atakuwa unakosea sana

Chanzo aljazeera
USSR
Netanyahu huyu ambaye juzi alilazimishwa vijana wa Ultra Orthodox waingie jeshini kilazima!?
😆😆😆😆😆😆Israel itulie tu kwa kweli.
 
Kuwa serious kidogo, Hamas unajua ni kama kuku wa kienyeji hawatulii sehemu moja, waambie wapigane kama jeshi kamili waende frontline dhidi ya Israel uone kama watabaki hata mmoja..

Usisahau kumuita na huyo Yahaya wako!.
This is baseless claim .
Hata PKK kurdish fighters wanapigana kama kuku wa kienyeji na jeshi la Uturuki.
Ila Uturuki inawapa kichapo hao PKK mpaka wanajuta.
Kwanini Uturuki waweze na Israel washindwe!?
 
Kwa Lebanon kasema ataweka askari mpakani kwa ajili ya ulinzi,hatoingia Lebanon,najua hizbullah hawalali,ajitie nyege si tufurahi TelAviv kuwa Kama Gaza
Jana nilikua natizama habari IDF wakawa wanasema na cross border fire imekua ngumu kwao kwasababu HIZBOLLAH hawaonekani.
Yani wanapiga vyuma halafu wanapotea.😆😆😆😆😆😆
 
Netanyahu huyu ambaye juzi alilazimishwa vijana wa Ultra Orthodox waingie jeshini kilazima!?
😆😆😆😆😆😆Israel itulie tu kwa kweli.
Wachambuzi wanahoji kwamba imekuaje ama ndio hamas kasbabisha haya yote haya je hizbullah mazayuni watatoboa
Nimeona majeshi mengi madhaifu ila israel kiboko kwa udhaifu kwakweli khaaa
 
Wachambuzi wanahoji kwamba imekuaje ama ndio hamas kasbabisha haya yote haya je hizbullah mazayuni watatoboa
Nimeona majeshi mengi madhaifu ila israel kiboko kwa udhaifu kwakweli khaaa
Hapo kapigana tu na wanamgambo,, hajapigana na taifa ambalo nalo jeshi lake limekamilika
 
Back
Top Bottom