James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Kupigana vita si mchezo ndugu. Hapo jana wamelazimisha Ultra Orthodox Jews students waingie jeshini kwa lazima na hii ni kinyume Cha Imani ya hao jamaa. Wao kazi yao ni kusoma dini tuu. Maana yake kitakuwa na uhaba wa reserve ya askari wakiendelea hivi. Hivyo kupigana ktk fronts zote mbili inahitaji mipango. Israel ilikuwa zaidi kiteknolojia ila hamas inawakumbusha kuwa si teknolojia tu. Vita inahitaji watu wa kufa vitaniApige front zote 2......ana uhakika hamas kawamaliza?.....Hezbollah anabeba hadi watu wa iraq sio lebanon peke yake