Netanyahu: Tunaondoka Rafaa na kuhamia lebanon

Netanyahu: Tunaondoka Rafaa na kuhamia lebanon

Usrahell kama kashindwa kutoboa kwa hamas hana sehemu atakayotoboa
Ingawaje waumini wake humu wanamsifia kwa kuifanya ghaza kua vifusi vitupu😀
Na hapo anapigana na mtu aliyemnyima chakula na umeme kwa miezi kazaa hawezi kuingiza hata bastola
 
Back
Top Bottom