Mkuu tuongee uhalisia TUWEKE USHABIKI PEMBENI,Israel imeishiwa rasilimali watu wa jeshi kaka,vuta picha mpaka imelazimisha wasomea dini wa Orthodox Jews kuingia jeshini tena kilazima ilhali sheria inatambua Israel kuwa Orthodox Jews ni wasomea dini hawatakiwi kujihusisha na migogoro!?Wachambuzi wanahoji kwamba imekuaje ama ndio hamas kasbabisha haya yote haya je hizbullah mazayuni watatoboa
Nimeona majeshi mengi madhaifu ila israel kiboko kwa udhaifu kwakweli khaaa
Je kwa Hizbollah ambao wanakadiriwa kuwa na wapiganaji laki moja,na hiyo ni idadi ya makadirio sio namba kamili,usikute Hizbollah wanafika hadi laki tatu.
Wana silaha za kisasa ambazo za kushindana na jeshi kamili la nchi ndugu unatoboa kweli!?
Aya ngojea tuone.