Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari alishajitokeza hadharani na kusema wazi Hamas kwa Wapalestina ni itikadi! Hivyo huwezi kuiua hiyo itikadi, na kuitoa kirahisi tu katika mioyo ya Wapalestina walio wengi.Ndio na kuuliza kama wamefanikiwa mbona jana Hamas wamewashambulia IDF Rafah border!?
Au hao Hamas wa mchango!?
Kwa hiyo Mayahudi watafute tu njia mbadala ya kuumaliza huo mgogoro wao na Wapalestina. Mimsingi matumizi ya nguvu, mauaji, mateso, manyanyaso, nk. Kwa Wapalestina hayawezi kuumaliza huo mgogoro.
Hivyo hao wanajeshi watauwawa mmoja mmoja mpaka wataondoka wenyewe kwenye hilo eneo la Gaza.