Netanyahu sasa itabidi apambane na muungano wa Turkiyë, Saudi Arabia na PakistanView attachment 3645387
Nchi ambayo itahusika kumkamata au wahusika wakae chonjo jinsi watakavyoanza dondoshwa kama kuku wa mdondo. Khayatollah yupo wapi? Wauulize Iran.
Anti semitism ni kosa na genocide aliyofanya Netanyahu pia ni kosa. Kanye West hana arrest warrant ila Netanyahu ana arrest warrant. Na ofisi ya waziri Mkuu 10th Downing street ilishasema wazi kuwa akikanyaga basi SHERIA ITAFUATA MKONDO WAKE.Kama hujui namna Kanye West alivyoziuwa kuingia UK achilia mbali kupiga Show yake iliyopangwa humo kisa tu hizo wanazoziita antisemitic statements kuwahusu Jews. Jeshi na Intelligence ya hawa jamaa ni universal, inaingia mpaka KGB, M16 mpaka CIA huko. "Tembo hawezi kutishwa na kelele za chura kunywa maji".
Ndio zipo, kama anabisha aende uingereza au Spain mbona anaogopa? Vikao vyote vya uingereza anatumaga mwakilishi yeye hajakanyaga tena toka 2023!! Sasa kama ni kidume anaogopa nini?Ujinga mtupu unakusumbua hivi kwa akili kiduchu bado unaamini kuna nchi ya kumkamata Mwamba Waziri Mkuu wa Israel kiboko cha Wafuga Midevu na Majini Mashariki ya Kati Benjamin Netanyahu? Inabidi tu ukapimwe mkojo huenda una Matatizo ya ki jinsia!!!
Anaweza asishambulie kijeshi ila wakaratibu mbinu zao za ugaidi ndani ya 🇬🇧 maana akili za hawa ni ugaidi tu pale wanapoona wanepingwa maslahi yaoKwamba akikamatwa uingereza ataishambulia? Hujui members wa NATO wakishambuliwa wana jukumu la kumlinda!! Sasa hao Israel wana jeuri ya kupiga nchi gani ya NATO? si watageuzwa majivu au mmesahau mziki wa Hitler?
Anakanyaga kutembea? We kilaza sana so hizo nchi anaenda kufanya shopping? We mbona hukanyagi Israel au Palestine? Ukiwa Kobaz lazima uwe kilaza?We ndio kila.za maana sheria inasema akikanyaga nchi mwanachama lazima akamatwe sasa hayo mavitisho ya nini aende tu mfano Canada au Norway si huwa kuna vikao kibao je ni kwanini anatumaga wawakilishi haendi mwenyewe?
Unajua nyie jamaa huwa ni wajinga sana hamjui lolote. Aliambiwa na uingereza kuwa akikanyaga tu wanamla kichwa mbona tokea hapo hakanyagi uingereza?? Si aende na hii mikwara London ili tuone nani kidume?
View attachment 3646262
Hao hata waungane 20Netanyahu sasa itabidi apambane na muungano wa Turkiyë, Saudi Arabia na Pakistan
Si kuna ziara, vikao, warsha mbona alikua anaenda uingereza kila mwaka ila tokea arrest warrant itolewe ameogopa kukanyaga.Anakanyaga kutembea? We kilaza sana so hizo nchi anaenda kufanya shopping? We mbona hukanyagi Israel au Palestine? Ukiwa Kobaz lazima uwe kilaza?
Anakanyaga kutembea? We kilaza sana so hizo nchi anaenda kufanya shopping? We mbona hukanyagi Israel au Palestine? Ukiwa Kobaz lazima uwe kilaza?Si kuna ziara, vikao, warsha mbona alikua anaenda uingereza kila mwaka ila tokea arrest warrant itolewe ameogopa kukanyaga.
Je kwanini Netanyahu anaogopa kukanyaga uingereza na wanachama wengine wa ICC? kama ni kidume anaogopa nini mpaka anatuma mawaziri tu kumuwakilisha kwenye vikao?
Sijadili mihemuko. Najadili hoja.Hivi wewe umelewa au huna akili kabisa? Taifa la Israel alishindwa kulipoteza Farao na majeshi yake Huyo Hitler unayemramba Makalio alishindwa na kipindi hicho hawakuwa na Jeshi Leo hii wanalo Jeshi Lao Pendwa IDF unaleta ndoto za Mwendawazimu!!!
Wewe ndiyo utapotea na si Taifa la Israel maana ni Taifa Teule Najua kwa kusema hivyo Majini yako lazima yatapanda tu!!!
We ni roboti? Mbona unajibu kitu kimoja copy and paste kwa kila swali?Anakanyaga kutembea? We kilaza sana so hizo nchi anaenda kufanya shopping? We mbona hukanyagi Israel au Palestine? Ukiwa Kobaz lazima uwe kilaza?
HAkuna nchi ya Nato inayoweza kumgusa Israel, jiulize kwanini USA anakoromea nchi za Nato ila akifika kwa Israel anakuwa mpole.Kwamba akikamatwa uingereza ataishambulia? Hujui members wa NATO wakishambuliwa wana jukumu la kumlinda!! Sasa hao Israel wana jeuri ya kupiga nchi gani ya NATO? si watageuzwa majivu au mmesahau mziki wa Hitler?
Hapa tatizo ni Netanyahu sio Israel, mfano uingereza walikua wazi kuwa akikanyaga watampiga pingu.HAkuna nchi ya Nato inayoweza kumgusa Israel, jiulize kwanini USA anakoromea nchi za Nato ila akifika kwa Israel anakuwa mpole.
Netanyau ni kiongozi wa Israel, hapo amezungumza kama kiongozi wa Israel na sio kama yeye binafsiHapa tatizo ni Netanyahu sio Israel, mfano uingereza walikua wazi kuwa akikanyaga watampiga pingu.
Sasa unadhani wakimkamata kitatokea nini? Say Israel ivamie London na kufurumusha makombora, je uingereza itakubali tu kinyonge na kumuachia Netanyahu?
Hapana, lazima watalinda ardhi yao na kiprotocol akipigwa tu automatically lazima nchi zingine za NATO zinapaswa kuingilia.
Kwahiyo hapo lazim Israel ikubali tu kumtema Netanyahu au walimalize kidiplomasia ila sio waufyate. Wazungu kwenye maslahi yao hawana huruma na yotote
Hakuna wa kuweza kupambana na Mwamba Benjamin Netantahu hapo!! Wanajifurahisha tu!!Netanyahu sasa itabidi apambane na muungano wa Turkiyë, Saudi Arabia na Pakistan
Wewe una akili za kitoto sana!!Ndio zipo, kama anabisha aende uingereza au Spain mbona anaogopa?
Waambie tu hao waingereza na mbwa wao Spain wamwalike!!Vikao vyote vya uingereza anatumaga mwakilishi yeye hajakanyaga tena toka 2023!! Sasa kama ni kidume anaogopa nini?
Aende huko kufanya nini? Kama hakuna cha muhimu?Niambie hata wewe ni lini umeskia amekanyaga huko?
Mwamba Benjamini Netanyahi ni mtu mhimu sana si rahisi kwake kuzurula kila sehemu wakati analo jukumu la kuhakikisha usalama kwa watu wake!!Hata Sauzi aliogopa kwenda baada ya G20 kupangiwa kikao huko alisema hawezi kanyaga.
Hakuna wa kumkamata Netanyahu jipeni faraja tu maana mambo yenu ni magumu sana!!Hapa tatizo ni Netanyahu sio Israel, mfano uingereza walikua wazi kuwa akikanyaga watampiga pingu.
Sasa unadhani wakimkamata kitatokea nini? Say Israel ivamie London na kufurumusha makombora, je uingereza itakubali tu kinyonge na kumuachia Netanyahu?
Hapana, lazima watalinda ardhi yao na kiprotocol akipigwa tu automatically lazima nchi zingine za NATO zinapaswa kuingilia.
Kwahiyo hapo lazim Israel ikubali tu kumtema Netanyahu au walimalize kidiplomasia ila sio waufyate. Wazungu kwenye maslahi yao hawana huruma na yotote
Israel iko vitani na Magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth,Islamic Jihad na bwana wao Iran harafu ulivyo mjinga unataka Netanyahu aanze kuzurula kama mtu aliyekisa kazi!!Nimekwambia tokea arrest warrant itolewe hajawahi kanyaga nchi wanachama wa ICC.
Wa kumkamata Mwamba Netanyahu bado kabisa hajazaliwa!!We ni roboti? Mbona unajibu kitu kimoja copy and paste kwa kila swali?
Nimekwambia tokea arrest warrant itolewe hajawahi kanyaga nchi wanachama wa ICC.
Ni sawa na mtu anauza gongo alafu kaambiwa akionekana mtaani atakamatwa. Alfu akijificha chini ya kitanda ajisifie eti "POLISI WANANIOGOPA, HAWAWEZI NIKAMATA".
Ndio nini sasa? Yeye aende kwenye vikao vikifanyika nchi mwanachama wa ICC then utapata majibu kama anaogopwa au lah.