Netanyau asema ICC ni kikaragosi tu. Haina cha kumfanya ana Jeshi kali.

Anakanyaga kutembea? We kilaza sana so hizo nchi anaenda kufanya shopping? We mbona hukanyagi Israel au Palestine? Ukiwa Kobaz lazima uwe kilaza?
 
Acha maneno mengi jibu swali, kwanini alikimbia Poland? Kwani Poland ina jeshi kubwa kuzidi Israel? Haahaha
 
We huna unalojua, aliogopa kukanyaga Poland kwenye tukio muhimu kuliko yote ya wayahudi.
View attachment 3647093
Mwezi Decembet asingeweza kusafiri maana alikuwa na kazi kubwa kuandaa vifo vya viongozi wa Iran akiwemo Ayatollah Ali Khamenei!! Hizo ni habari za magazeti tu!!

Netanyahu asingeacha vita aende kwenye maonyesho!! Jamaa anajua wajibu wake kikamilifu!!
 
Acha maneno mengi jibu swali, kwanini alikimbia Poland? Kwani Poland ina jeshi kubwa kuzidi Israel? Haahaha
Poland wala hakukimbia kipinfi hicho kulikuwa na maandalizi ya kuua magaidi wa Iran akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei!! Kwa hiyo yeye asingeenda kwenyr maonyesho
 
Umesoma hiyo taarifa? Au umekurupuka kujibu? Wamesema wazi wasingekanyaga sababu ya kuhofia Poland kutumia kifungu hiko cha Rome Accords kumkamata.
 
Habari za magazeti wewe unasema ni rasmi? Acha ujinga Israel ilikuwa vitani kwa hiyo Netanyahu asingeweza kutoka nje ya nchi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…