Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

Hii comment yako hadi wenzako watakua wanakushangaa. Mmeshaanza kusahau vipigo vilivyowafanya mumpigie kelele watu wanakufa sana
Nafikiri wewe ndo watu wanakushangaa. Kwani kati ya Iran na Israel ni wapi watu wanahaha kila siku kukwepa makombora?

Ushawahi kusikia Iran watu wanakimbilia chini ya mahandaki kukwepa makombora? Lakini Israel kila siku watu wanakimbilia chini ya mahandaki. Yani hakuna anaeijua kesho yake. Leo ikipita salama, basi kesho wanashambuliwa. Kesho ikipita salama basi keshokutwa wanashambuliwa. Wakipumzishwa na Hamas wanapigwa na Hezbulah, wakipumzishwa na Hezbulah wanapigwa na Houth ya Yemen.

Ndomaana wenye akili tunashauri kuwa Netanyahu aombe suluhu ya kumaliza vita. Kwani kupambana na nchi iliyokuwekea makundi mpakani kwako yakutwange kila siku ni kazi nzito. Hapo aumiae ni Israel. Iran haina cha kupoteza kwani kwao ni salama.

Hapo Ayatollah kashika mpini, na Netanyahu kashika makali. Wakivutana yeye (Netanyahu) ndo atachanika mikono. Iran kwao hata baruti ya kibiriti haijawahi kupigwa. Watu wanalala na kuamka salama.
 
Netanyahu katuma mtu kisiri misri kwenda kufufua mazungumzo ya cease fire na Hamas
 
Wakiristo wa jf mumelipwa shilingi ngapi na mayahudi kueneza propaganda zao jf? Hata vikimaliza vita mtakuwa matajiri wakubwa
Issue ni ugaidi haijarishi ukristo au uislam...........kwanini magaidi .......kwanini ugaidi unazidi kwenye uislam??.........je unadhani ni lazima wote kuwa wavaa madera?? Tafakari jibu lipo kwa Netanyahu
 
Ameshachanganyikiwa ni mwehu huyu!

Alishalipua kwa kupiga makombora wafu makaburi ya Beirut analipi tena la kufanya na la kusema!?
Jamaa anawahadaa mabwege wenzake ili waendelee kumpa silaha. Macron kaisha shtuka na kukaa pembeni kuwaachia wajinga wamtajirishe huyo bwege na genge lake kupitia vita uchwara.
 
Netanyahu katuma mtu kisiri misri kwenda kufufua mazungumzo ya cease fire na Hamas
Bora afanye hivyo mkuu ili kuokoa roho za wanajeshi wake na raia wake. Bila hivyo akijifanya kichwa ngumu ataumia bure safari hii. Ayatollah kaweka nne na sigara yake mkononi anaangalia tu kwenye luninga jinsi Netanyahu na genge lake wanavyotaabishwa na vijana wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Magaidi wa kizayuni wanatakiwa wafutwe ili Dunia iwe mahala paamani
Mbona wao ndio wanachokozwa na waislam, Myahudi hanaga shida na mtu as long humuingilii kwenye anga zake wanaoshirikiana nao wanafaidika sana. wapumbavu na fake muslim ndio wanaweza nyenyua midomo kungea hovyo kama wewe the fake one usiyesoma Quran yenu ya iblis
 
Netanyahu alivyo fisi hawezi kukanyaga eneo lililoshambuliwa hata siku moja uoga alionao hata akiskia kijiko kimeanguka ndani kwake anapiga simu kwa Biden, wakati Biden nae ni zezeta vilevile
Biden mwenyewe siku hizi anapoteza sana kumbukumbu. Ukute ashasahau kuwa yeye ni raisi wa nchi gani.

Nasikia alimpigia sim Museven akifikiri kuwa anaongea na Netanyahu. Mpaka watu wake wa karibu walipomwambia kuwa anaongea na Museven badala ya Netanyahu ndo akashtuka na kukata sim ghafla bila hata ya kusema goodbye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

So mtu kama huyo sio wa kumtegemea sana kwenye vita, maana kuna siku atajisahau ataamrisha silaha ziende Lebanon kwa Hezbulah badala ya Israel kwa Netanyahu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Biden akili zimeondoka kitambo Mtu anasalimiana na upepo hadi ana shake hand mbele ya camera kibao si ni kichaa yule
 
Aliona dem kavaa gauni la blue kama mkewe, akaanza kumfuata,wasaidizi wakaokoa jahazi,angemla denda kinguvu
 
Biden akili zimeondoka kitambo Mtu anasalimiana na upepo hadi ana shake hand mbele ya camera kibao si ni kichaa yule
Juzi kamuita trump Mr President kabla ya kurekebisha 'former president'
 
NiΔ… ya waarabu/ waislam ni kufuta wayahudi. Hizi nyingine ni porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…