Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

Netanyahu ajiuzulu tu, maana kiukweli nchi imemshinda vibaya. Kila siku anapigwa, mara houth, mara hezbulah, mara Hamas. Alidai wana mfumo bora kabisa wa ulinzi wa kuzuia makombora yoyote yanayotokea nje, lakini ni kama vile wameweka wavu juu ya ndoo ili kuzuia maji ya bomba yasijaze ndoo.

Jana Marekani alitangaza kuwa anafunga mfumo bora kabisa kuwahi kutokea (Thaad) ambao haitoruhusu hata nzi kutoka nje ya Israel kuingia nchini humo. Lakini kinachoshangaza mfumo huo uliotangazwa kufungwa jana jumlisha na mifumo mingine ya Iron Dome nk imeshindwa kuzuia drone 1 tu leo asubuhi kutoka Lebanon, ambayo imeingia mchana humo na kuuwa wanajeshi wa Israel na wengine kujeruhiwa. Je zingetumwa Hypersonic 5 mfululizo kutoka Iran ni nini kingetokea!!

Akae chini kuomba suluhu ili kuzuia maafa zaidi katika nchi yake, maana Ayatollah hana cha kupoteza. Nchi yake watu wanalala usingizi mzuri na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Hakuna nzi wala mende anaekatiza katika anga lake. Huku Israel wakiwa na kazi ya kukimbilia mashimoni (handakini) kila siku wanaposikia ving'ora.
Nani wa kuomba suluhu?
 
Nią ya waarabu/ waislam ni kufuta wayahudi. Hizi nyingine ni porojo tu
Japo unajifanya kukwepa ukweli nilioandika. Lakini nashukuru moyo wako umenielewa. Uzuri wa moyo huwa haufugi unafiki. Unaweza kujifanya mnafiki katika macho ya watu, lkn rohoni ukakubaliana na kile nilichoandika.

Ili Netanyahu aishi kwa amani pale mashariki ya kati, inatakiwa afuate sheria za kimataifa. I mean ajenge katika ardhi yake na sio ardhi za wenzake.

Hii ndio comment yangu ya mwisho kwako katika uzi huu. Sina muda wa kubishana na mtu anaetetea ujinga huku akijua vizuri kuwa anachokitetea hapa ni ujinga. Have a good night
 
Wakiristo wa jf mumelipwa shilingi ngapi na mayahudi kueneza propaganda zao jf? Hata vikimaliza vita mtakuwa matajiri wakubwa
Suruali fupi mlikuwa mnatamba eti Hisbollah atawapiga Israel hahahaa sasa viongozi wote wa Hisbollah wametangulia kwenye 🔥 wa Allah
 
Wakiristo wa jf mumelipwa shilingi ngapi na mayahudi kueneza propaganda zao jf? Hata vikimaliza vita mtakuwa matajiri wakubwa
Wew tafuta namna ya kuwashauli wakristo waanzishe kikundi cha kigaidi cha kikiristo cha kumpigania Mungu wao kwa silaha. Nawashangaa sana wakristo leo hii wangekuwa na kikundi kinautwa Christian resistance army wasingekuwa wanyonge hivi.
 
ni kweli Waisraeli hawajasema habari za dini ila Hujamsikia A.Khamenei akiyataka mataifa ya kiislamu yaungane dhidi ya Myahudi? Hayo makundi yanayopigana dhidi ya Israeli ni makundi ya Kiislamu (Shia groups)chini ya ufadhili wa Iran ambalo ni Taifa linalojinasibu kuwa ni la Kiislamu.
Huku Geita tuko hatua za mwisho mwisho kuanzisha christian resistance army
 
Mbona wao ndio wanachokozwa na waislam, Myahudi hanaga shida na mtu as long humuingilii kwenye anga zake wanaoshirikiana nao wanafaidika sana. wapumbavu na fake muslim ndio wanaweza nyenyua midomo kungea hovyo kama wewe the fake one usiyesoma Quran yenu ya iblis
Labda wanafaidika na kwenda kufanya parade la lgbtq
 
Mwisho wa siku anaenda kutatinda wananchi wa kawaida ...
 
Hakuna kiongozi wq isael aliyeleta maafa kwa israel kama netanyahu ,ni mbinafsi na hata viongozi waliopita wanamlaumu kwa kuweka maslahi yake ya kisiasa mbele kuliko ya watu wa israel, waziri wake wa vita gantz alijiuzulu baada ya kutofautiana nae hadharani ,na huyu wa sasa gallant pia anaendelea kumpinga hadharani kila siku hadi netanyahu anamtishia kumfukuza
Hadi sasa kapigana na mgambo wa hamas mwaka mzima hakuna alicho achieve, kaenda kumchokoza iran huku anajua kabisa nguvu hana ya kupigana na iran , anamtegemea marekani wqkati marekani hataki kujiingiza kwenye vita yupo kwenye uchaguzi sasa hivi, israel haijawahi kuwq na mpumbavu kama neyanyahu, ehud barak alimwambi asiende lebanon maana ni kutaka kuwaua wanajeshi wa idf bila ya sababu maana hakuna watakacho achieve ila kichwq nazi yule kaenda ,kasababisha hadi weqkness ya israel defence system imejulikana na dunia nzima ndio maana kasita kulipiza kisasi kwa iran ,kwa sasa hawezi kumgusa iran hadi defence system aliyotuma marekani ifike ama sivyo atachakazwa
Unalialia nini Sasa mbona malalamiko mengi sana mala viongozi wenzie hawamtaki wewe inakuhusu nini netanyahu yupo sana na ataendelea kuua magaidi Kila siku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni dhana inayoonekana kutenga Raia wa eneo husika na kumbuka mti wa mbuyu huanza kama mchicha, lakini baadya ni mti mkubwa sana. Kwa mantiki hiyo hako kaneno kanaonekana kadogo kwa sasa ila huko mbeleni inaweza kuja kuwa ni hoja ngumu kubwa tena itakayoweza kuzaa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ni bora ikaachwa hata kama ni hoja ya majority.
Mkuu ni miaka yote imekua hivyo.
Na hakukutokea vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Maana wanachokipigania ni cha wote sio waislam pekee.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel.

Netanyau amesema watahakikisha wanawasaka magaidi wa Hezbollah kila sehemu waliyojificha huko Lebanon ikiwemo mji Mkuu wa Beirut.

Anaongeza kuwa Israel inapambana na Iran ambayo ni muhimili wa ugaidi duniani ambayo imekusudia kulifuta taifa la kiyahudi

Amedai kuwa anajua kuwa nchi yake inalipa gharama kubwa kwenye vita hii lakini mafanikio ni makubwa.

Soma Pia: Jeshi la Israel laazimia kusambaratisha kitengo 127 cha uzalishaji na uendeshaji wa drone cha Hezbollah pamoja na kuua makamanda wote

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu bin isihaka bin Ibrahimu


October 14, 2024

Netanyahu visits base hit by Hezbollah drone, says IDF will continue to strike in Beirut

Prime Minister Benjamin Netanyahu, center, visits a Golani training base targeted by a deadly Hezbollah drone strike a day earlier, October 14, 2024. (Kobi Gideon/GPO)

Visiting the Golani training base at which a Hezbollah drone killed four soldiers last night, Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to continue striking the Iran-backed Lebanese terror group, including in Beirut.

“We are fighting a tough campaign against Iran’s axis of evil that wants to totally destroy us,” says Netanyahu. “They won’t make it. We keep fighting. We pay painful prices, but we have tremendous achievements — and we will continue to achieve them.”

“I want to make it clear: we will continue to hit Hezbollah mercilessly in all parts of Lebanon — also in Beirut,” he says, after Hebrew media reports indicated that he had instructed the IDF to refrain from hitting the Lebanese capital at Washington’s behest.


Netanyahu visits the dining hall that was hit by the UAV, and talks about the incident with survivors.

He also visits soldiers injured in the attack at Hillel Yaffe Medical Center in Hadera.
akitoa hapo anaenda kwenye handaki kujificha...kama panya
 
Back
Top Bottom