Wanafaulu vipi wengine ?watu wanapata 98 % kama haujui haujui tu.Huwezi kusoma vitabu vya tie kuanzia form one up to six ndani ya mwezi mmoja, na pia usome mambo ya psychology mwaka wa kwanza hadi wa tatu kwa huohuo mwezi mmoja, labda uwe roboti
Hahahhaha. Dah. Kiongozi sawa hamna mbaya. Ni watanzania wenzang pia.Sijui nina shida gan kila nikisoma comment zako nazisoma kwa lafudhi ya kisukuma
Ulipotaja rejista tu nikajua huyu ni ticha. Good morning tichaITujaribu kutofautisha rejesta na mahali pa kuzitumia.
Hopeless.
KhaaaaIla hoja yao ya kufutwa kwa usaili kisa wanakaa muda mrefu bila usaili ni ya kipuuzi na ya kupuuzwa kabisa.
Wahasibu, wanasheria, wahandisi, madaktari wote hao hupitia usaili.
Kampuni gani itakuajiri bila kukupima, hata ukae miaka 10 lazima upimwe je unakumbuka ulichofundishwa?? Sasa hukumbuki utaenda kufundisha nini?
Hesabu ni formula, wewe ushasahau zote, wewe ticha wa kemia upewe maabara na huna chemical formula unayokumbuka mwisho uishie kuichoma moto maabara yenyewe.
Haya na wewe nimekupa 98%,Wanafaulu vipi wengine ?watu wanapata 98 % kama haujui haujui tu.
Khaaa unasemaje????hv unatutakia kheri kwel wwKwa uhalisia ili kuboresha Elimu inatakiwa Walimu waliokazini wapewe mitihani atayefeli awe amejifukuzisha kazi ili waajiriwe wapya
Dr. Akaa darasani miaka mingapi na ana field practice ngapi kabla ya kuhitimu?kwamba daktari anasahau matibabu ya magonjwa common ? je anaenda kutibu nn ? kama mwl hajui aina za maneno , je ataenda fundisha nn huko shulen
Huitaji n mdogo arf huko Kuna shule Ina wanafunzi 500 na Ina walimu wawili ndugu unatumia taarifa sahihi unapochangia mada auHoja yako ni dhaifu sana. Hiyo zamani waalimu walikuwa wachache sasa hivi ni wengi kuliko mahitaji. Hata kada zingine walikuwa wanachukuliwa tu bila kuwa na mambo mengi. Na kadiri miaka inavyosonga uhitaji utazidi kuwa mdogo. Kama nchi tufikirie jinsi gani ya kupunguza ukubwa wa tatizo kupitia ujasiriamali na uwezeshaji wa sekta binafsi.
Mimi ni mwanalugha sio mwalimu. Ila ninaelewa kadhia wanayopitia vijana wetu waliotenda kwa uaminifu wakasoma kwa jasho kufa na kupona maana wengine waliona kama adhabu wakawa kwenye Comfort zone Kisha serikali isojali inawezaje kuchukulia hao kama mzaha wa Kisasa ilhali uhitaji wa waalimu mikoani na pembezoni ni zaidi ya uhaba?Ulipotaja rejista tu nikajua huyu ni ticha. Good morning ticha
KWanafaulu vipi wengine ?watu wanapata 98 % kama haujui haujui tu.
Kuna mda itabidi turuhusu watafiti huru kwenye mashule yetu. Tuone kama kweli kuna wakim wa kutosha.Mimi ni mwanalugha sio mwalimu. Ila ninaelewa kadhia wanayopitia vijana wetu waliotenda kwa uaminifu wakasoma kwa jasho kufa na kupona maana wengine waliona kama adhabu wakawa kwenye Comfort zone Kisha serikali isojali inawezaje kuchukulia hao kama mzaha wa Kisasa ilhali uhitaji wa waalimu mikoani na pembezoni ni zaidi ya uhaba?
Je tutumie watafiti huru kufanya research just quantitative kuona kama Kweli Tanzania Haina shida ya waalimu? Jiepusheni na fedheha iso ya lazima. Ikiwemo kukosa kibali mbele za Kila kitu.
Hapo wanafundisha au wanachunga watoto ?Huitaji n mdogo arf huko Kuna shule Ina wanafunzi 500 na Ina walimu wawili ndugu unatumia taarifa sahihi unapochangia mada au
Hao ambao wameajiriwa kama walim wakati si walimu by professional? Wanafanya nn kwneye hizo nafasi?Ndugu yangu. Kwani dereva, rubani daktari , na fami zinginezote zinapofanyiwa interview mbona hatuhoki haya ??? Kwanini iwe kwa mwalim peke ake. Kwanini tulalamikie interview hii peke ake. Why not zingine zote ????
Hahahaha. Tunaenda mbali sana sasa. ... Watakimbizana sana wajinga wajinga wote watakua Not selectedMie nadhan interview ianze na viongozi wote
Sidhan kama kuna mwenye 98 kwenye mikeka yote ile.Wanafaulu vipi wengine ?watu wanapata 98 % kama haujui haujui tu.
Wanapimwa .. na wanalitia semina wezeshi. .. vyovtote utavosema. Ila ni lazima mtu anaefanya kazi ya ualim lazima awe na mastery ya somo husika. Sio unakua na ujuzi wa kubabatiza tu af unasema ety wewe ni mwalimu.Hao ambao wameajiriwa kama walim wakati si walimu by professional? Wanafanya nn kwneye hizo nafasi?
Umeshaona dk, eng, ruban ambae si rubani by professional na akaruhusiwa kufanya hiyo kazi
KheeeeeKhaaaa
Serikali iliwazoesha vibaya hawa watu ila usaili ni njia bora.Dah. Tunahitaji san watu wenye weredi wa kufikiri wa namna
Umepanick sana.
Madaktaru wanafanya intervuew, watu wa uchumi mabenk humo na TRA wanafanya Interview ... Why ninyi wali. Muogope interview jamani ???
Kwani hata Ruban akifanyiwa interview nae inamanisha wanamasjaka na elim yake . Au wanaangalia weridi wake ?
Una hasira mpaka hoja yako haionekani kwa ulichoandika.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo! Ingawa naona kuna watu wanashangilia. Yaani huoni tofauti ya waalimu na hao wahasibu?
Waalimu wanasoma vyuo vya wizara ya elimu. Hata walio vyuo binafsi, mitaala yao na ubora wake inasimamiwa na wizara ya Elimu Wanaajiliwa na wizara ya Elimu. Huoni Tofauti? Madaktari gani wanaoajiliwa kwa usaili nchi hii? Hao wahasibu wanaajiliwa na wizara ya Uhasibu? Ipo? Mitaala yao inasimamiwa na wizara ya Uhasibu? Ipo?
Nakupa mifano hiyo ili angalau uwe na akili. Kwamba Wizara ya elimu inafanya ujinga na waziri wao. Yaanio imesimamia ubora wa wahitimu na kuridhika nao, na kutoa vyeti. Baadaye wakitoa ajira, waziri anasema kama mlevi eti ubora wao sijui nyoko gani vile!