New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness



Sasa wenyewe kwa wenyewe mnavikana vilemba vya ukoka. Mnateuliwa kuchapa kazi lakini badala ya kuzichapa mnaishia kusifiana viongozi kwa viongozi badala ya wananchi kuwasifia ama kuwakosoa. Hamtaki kukosolewa ila mnapenda misifa ambayo hata hamstahili.
 
Mbona Mwendazake hakumisifia hivi maana ndiye aliweza kupima uwezo wake. Sasa hawa wateule wanampima mwajiri wao na kumgongea kongeo wapi na wapi. Wana masilahi makubwa ya kumwingiza mkenge ili aendelee kuwalinda. Swali la kujiuliza haoni au ana naniiiiii tu?

Anaonekana kuchekelea kwa hiyo anavihusudu vilemba vya ukoka.



FAiLDoGX0AU3bvh.jpg
FAiLCq5X0AA-qM1.jpg
 


Humility begins by subjecting yourself to accountability of which criticism is the main course.

Moreover, public servants must not seek the respect of the society but must EARN IT.

When you wish to be respected knows too well deference is a two way traffic. You will always get what you deserve not what you ask or wish.

Bowing down to JK lowers your personal dignity. We say so because we despise a counterfeit when we know we deserve the REAL THING.

To earn our reverence, you need to distance yourself from JK failed hands or face the music....we mean business.
FArina-WQAMljTv.jpg
FArinHyWEAIwr-T.jpg
 
Akunwa na utendaji mahiri wa SSH na ya kuwa yuko tayari kurudi home sweet home ila swali ndugu yetu uliondoka kwa hiari yako au ulitimuliwa kwa utovu wa nidhamu? Sasa kama ulitimuliwa kwa utovu wa nidhamu ni nani anakuhitaji uwe kampeni meneja wa kampeni yake? Hata mwenyekiti wa CCM wa kitongoji hakuhitaji.

USHAURI

Nyenyekea kama wenzio walivyofanya, andika barua ya kuomba msamaha na wakikurudisha uufyate maana: politically speaking you are damaged goods.

Jifunze kwa wenzio waliotimuliwa. Yupo huyu na yupo yule walifuata utaratibu.

La nyongeza, uliahidi kusaini na kalamu nyekundu baada ya kuapishwa what went wrong? How many elected officials won where you sought refuge? That should tell you about how much knowledge you have of TZ politics. We took time to deliberate and spell doom to your fading political fortunes but you are a poor listener. See where your political myopia has taken you to.



veronica__france_20211005_205416_0.jpg
 
CCM latest excuses over dual citizenship is it requires constitutional amendment which is cumbersome but kodi ya Uzalendo which renders the rest of other kodi as kodi za usaliti easier to legislate and enforces.

If CCM with their bloated majority in parliament can not reform the constitution then will they be able to do anything tangible in the next four years? Super majority for munching our taxes is all worthy the clamour for power?
 
Waziri mkuu apaswa kuwawajibisha wateule wa Rais kwa kushindwa kuwathibiti wasaidizi wao badala ya kuwalinda kwa kuwaingilia majukumu yao ya kinidhamu na kukiuka sheria za ajira. Kwa kukwepa kuwajibisha wateule tajwa ANALINDA UZEMBE MAENEO YA KAZI ZA UMMA.
 
Challenging Contradictions

I have often heard it said that ‘the Bible is full of contradictions’. It is certainly true that there are many apparent contradictions.
When faced with challenging contradictions:

seek to harmonise the apparent contradictions within the message of the Bible as a whole

avoid artificial means of harmonisation

be patient – be prepared to wait and live with unresolved questions
 
Back
Top Bottom