Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #5,981
Sasa wenyewe kwa wenyewe mnavikana vilemba vya ukoka. Mnateuliwa kuchapa kazi lakini badala ya kuzichapa mnaishia kusifiana viongozi kwa viongozi badala ya wananchi kuwasifia ama kuwakosoa. Hamtaki kukosolewa ila mnapenda misifa ambayo hata hamstahili.