New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

SURE . . . . .Taztizo letu ni mifumo tu. Wat wapo lakini tatizo hatuna njia thabiti na mifumo inayoeleweka ya kuwainua watu kama hao
 
Nilvyoelewa ni kwamba ukinunua umeme units ziasoma moja kwa moja kwenye mita na hakuna haja ya kuingiza unit namba.
 

Leo nimeona black american mmoja akisema watu weusi walipewa uhuru ila bado hawataki kuwa huru.

Kuna ukweli kwa sababu hatutaki kuachilia kuamini utamaduni wa mzungu ndio suluhisho la mambo yote.

Nchi nyingi za kiafrica zinapaswa kuwekeza nguvu ktk vyuo vya kati has vya ufundi, hili litasaidia kuinua teknolojia na viwanda kwa haraka sana.
 

Mimi nafikiri mfumo uliopo huenda unatoa mianya kwa wapigaji.

Mtanzania kwa upigaji wa dili humgusi na haambiliki
 
Hata mimi nilikuwa na wazanzibar inawezekana vipi kuwanunulia clouds umeme kwa njia hyo nikawa sina jibu.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli huu ni ufumbuzi wa tatizo kubwa. Unaweza toka kwenye biashara zako mapema ukawaacha wasaidizi bila kuangalia unit balance. Tanesco mita za kujazia hapo wamezitoa na kuweka za remote unayokaa nayo ofisini. Unapigiwa simu usiku umeme imekwisha. Huna namna zaidi ya kurudi ununue na kuweka umeme, at a cost.
 
India ipo Brother; Nilioona hii Kitu Chennai 2003 kama sikosei; Offcourse ilikuwa project ya madogo wa Chuo pia; Hope now itakuwa imeshakuwa allover;
 
Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.
Mkuu Ameimplement vipi? AMefanya demostration kwa meter gani? Natamani kujua? Maana what i know hiyo Technologia is possible, ila inahitaji Smart meter, Tofauti na hizo za Tanesco, labda uniambie Tanesco wameanza kuweka meter za smart kama huku Ughaibuni.

I saw this Technology 2003 Chennai, India; Ilikuwa pia ni project ya wanafunzi fulani huko.

SO ni kitu kinawezekana ila Meter ni smart; Sidhani kama Hizo meter zipo huko.
 
Mbona hii ni solution ya muhimu sana huyu kijana kagundua kwa nini mamlaka hazitaki kusupport
 
Dogo anitafute niwe meneja wake naakikisha kila jambo linaenda kisheria. Lazima tutapiga hela, asiende mwenyewe kichwa kichwa kama wale madogo wa M-PESA Kenya
 
Utakusanya luku zote nchini uzimodify? Kisa dogo
Unaweza kumodify meter mpya za kuanzia sasa na kuendelea. Miaka ijayo watu watakaotaka kubadilisha wafanye kwa gharama zao.
 
Mkuu mfumo wake ukikubaliwa kuna watu watakosa 10% ya manunuzi ya zile Control Units za kuingizia umeme wa LUKU.
Huenda mzalishaji wa zile unit kafanya yake ...
 
Safi sana ..Jana binafsi nimeteseka sana ..kile kidubuasha kiligoma kuwaka ..hii ni solution.

Tanesco wanamind coz ukipoteza ,ukiharibu kwao ni hela ...85k.. na unachukua mda kukipata sasa hapa lazima wazingue.

Dogo atafute mlango wake wa kutokes ..kutegemea Tanesco no.
 
yan wabongo sijui tumelogwa na nani..hv angekuwa mzungu ndo kafanya hii kitu mngekuwa mna SECOND GUESS namna hii?hyo teknolojia aliyoitumia hujaiona then unaanza kuponda tu..ndo maana inaitwa teknolojia..amevumbua namna ya kufanya automatically..kama huamini si umtafute akupe demo!!kwa hyo clouds ile demo waliyopewa na ikakubali walitudanganya au..wabongo bhana..nimewashindwa kwa kwel
 
Kwa mujibu wa maelezo yaliyo tolewa hapo kwenye hii post huyo dogo ninauona uongo mkubwa hapo Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.

kwa kuwa hicho kitu hakihusishi development ya software tuu, lakini pia mabadiliko ya hardware kwenye mfumo wa hizo meter, kwa kuwa kwa sasa hizo meter zimetengenezwa kuweza kuwasiliana na customer interface unit (CIU) unayotumia kuingiza unit na inaverify hizo token kwenye system ya Tanesco, so kwa msingi huo yeye kama thirdpart asingeweza ku_automate hiyo task kwa kuwa tayari kuna vitu vinamiss, ukizingatia pia anasema Tanesco walimzingua so this means hata access to Application Programming Interface (API ) ya Tanesco hawakumpa ambayo ingempa access ya kuwezesha request za kutuma na kupokea data kutoka system ya Tanesco.

kwa mujibu wa uelewa wangu mdogo katika haya mambo naona kuna uongo mkubwa.
 
Wengine wanasema mara ilikuwa project yao chuo,mara ni idea ndogo mwisho wa siku hamna chochote.

Nimeomba anayefahamu vizuri aniPM ila imekuwa kimya,hivyo hamna anayefahamu bali watu wanajifanya wanafahamu.
 
Huyo hana nafasi na hata fika popote labda angetukana wapinzani ndo angefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…