New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Mkuu Umeleza vizuri sana shida la sisi watanzania kila mtu nimjuaji na kulalamika kwanza nikanzie apo swala la dogo kuwanunulia umeme xxl hàpo hapo na ukaingia huo ni uongo na imeonesha jinsi gani mleta mada alivyo layman na hakutaka hata kuumiza kichwa kuwa kivipi dogo apate acces ya system za luku na Payments na kuzilink bila kuwa Granted kua access hio system Pili hizo tech zipo kabisa na inshu hapo sio innovation bali ni capital mana inataka mpunga mrefu kuchange izo system mana ni hardaware based

Tatu nimeona mtu sijui Iringa anadai kabuni na anazalisha umeme na kusambaza just bila Mamlaka Kama tanesco kufanya testing na approave ya huo umeme watu hawaoni hatari kabisa kuvutiwa umeme ambao hao regulated or controlled na shirika na Media zina praise kesho na kesho kutwa watu wakaunguza nyumba zao au wakapata madhara ya huo umeme wa kihorela bado lawama zitarudi kwaa serikali
 
Kibongobongo watajifanya hawamuoni na kumtafutia sababu za kutokukidhi vigezo na bla bla nyingi
 
Good idea ila itakata ulaaji wa wanaouza vidude vya kuingizia LUKU. Kama Star times unanunua kwenye simu inaingia moja kwa moja kwanini Tanesco wanataka kutuangaisha na tarakimu zao 20?
 
Anaweka kitu kwenye meter? Kwa taarifa yako hizi prepaid meter LUKU kwanza ni Property ya tanesco hata iwe imefungwa kwako still ni mali ya tanesco ndio mana ziko sealed na Mteja ana acces ya keypad tu na Screen ile basi sehemù nyingine hawezi kufungua hata kidogo kuna seal zimewekwa ukijaribu kufanya ivo Automatically meter ina temper yani umeme unakata na itabidi uende ofisi uka adress inshu yako na fundi aje kukagua meter ndio upewe iźo clear temper
 
Uitaka vitu vifanye kazi kama wewe unavyofikiria basi hapo hakuna uvumbuzi. Kasema kuna kufaa anakiattach au anakifunga kwenye luku.
Sasa kutakuwa kuna uvumbuzi gani ikiwa vitu vinafanya kazi the way ambavyo kila mtu anajua?
Hivi unajua steve jobs alipoletewa idea ya kutengeneza simu ambayo ni full touch aliikataa kwakuwa aliamini ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa?
 
Hili nalijua na ndiyo maana zina seal. Sasa mnabishana na mimi au mkambishie aliyetengeneza na waliomhoji maana mimi nimesikia kwenye rediio kilichokuwa kinaendelea hata sijaona ila kaniimpress maana watu wengi wangependa wakinunua luku iingie moja kwa mojja haya mambo umeme umeisha unahangaika hasa na kile kiremote uende kwa jirani au uweke betry ni ya kiboya
 
We jamaa uko too emotionally halafu ni layman wa haya maswala izo system tayari ziko sokoni hatuja adopt bado kwa sababu ya vitu vingi miongoni ni kuwa ili meter iweze ku operate the way unataka lazima ufanye changes za hardware kitu ambacho ni gharama sasa ukisema huyo dogo sijui ana attach huelewi hata, Meter za Three phase ndio inaweza kuwa simple kufanya izo operation mana kwa sasa zinawekewa modem na chip i
 
Yah mimi ni layman haya ndo mkadapt
 
tatzo wanasiasa wa tz ni wazalendo wa majukwaani lakin mioyon mwao hakuna ktu. hii nchi ina vipaji vya ugunduzi vingii sana lakn no body take care kwa sabab mtt sio wake. hyo technolojia angeleta mzungu ungeona mamlaka zinavyoishobokea.
 
Kumbuka yeye hajajipeleka clouds wao wamemskia huko huko VETA. How inavyo work hakuwa tayari kusema maana kasema ndicho kitu muhimu akisema basi hata mtu mwingine anaweza tengeneza
Hiyo ya kuweka kifaa fulani kwenye meter ina maana alifungua meter kwa kutoa kile kibanio maalumu cha hiyo meter bila ruhusa ya TANESCO wenyewe? Wasije wakamfungulia kesi ili kuzima ndoto zake kwa kummaliza jumla.
 
Ndio ukubali sasa hata hao waliokuwa wanamhoji nao hawakufanya utafiti hawakuchosha akili zao walikuwa excited tu kama wewe na wakawa emotionally driven sasa sisi wataalamu ndio tunakuambia iyo tech tayari iko sokoni na dogo kama anaona tech hio ni mpya basi aende mamlaka husika aka patent awe na hati miliki sisi tunakuambia hio tech now haiwezi kuwa implemented kwa uharaka kwa vile ni hardware based ila slowly tuta adopt tu, hata wakati tunatoka kwenye conversion meters post paid kwenda kwenye luku prepaid ime take muda ku replace meter zote za post paid na bila shaka nchi nzima now ni pre paid kasoro watumiaji wakubwa ambao wao ni post paid.
 
Hiyo ya kuweka kifaa fulani kwenye meter ina maana alifungua meter kwa kutoa kile kibanio maalumu cha hiyo meter bila ruhusa ya TANESCO wenyewe? Wasije wakamfungulia kesi ili kuzima ndoto zake kwa kummaliza jumla.
Ye kasema inatengemea na aina ya mita anaweza kia ttach aau akakifunga ndani.
Nadhani baadae itajulikana inafanyaje kazi
 
Hiyo ya kuweka kifaa fulani kwenye meter ina maana alifungua meter kwa kutoa kile kibanio maalumu cha hiyo meter bila ruhusa ya TANESCO wenyewe? Wasije wakamfungulia kesi ili kuzima ndoto zake kwa kummaliza jumla.
Kwahiyo kama amefungua zile seal wamuache? Hujui ni kesho kufanya ivo?
 
nashaur hata huyu dogo afanye hvo. akauze idea yake nje ili tuendelee kuabudu cha mzungu. mana viongozi wa bongo nyoso sana. mi nashangaaga sana kazi yao n kusifu na kuabudu ili waendelee kuota vitambi WTF[emoji51][emoji52][emoji58]
 
Mtu kaenda Veta kaenda Nishati na madini huko, veta washaanza kumsaidia kumkutanisha na uongozi wa TANESCO kwahiyo nao hawajui?
ANgesema Mchina huenda kusingekuwa na mabishano ya hivi hapa. We tulia tu utajua kinafanyaje kazi maana ana uelekeo wa kufanikiwa ashafika mikono salama baada ya watu wa chini wa tanescokumzungusha kwa muda mrefu
 
Kwahiyo kama amefungua zile seal wamuache? Hujui ni kesho kufanya ivo?
Mimi natazama uvumbuzi wake wa mapana siyo kufungua mita moja. Wakiamua kumkamata ni wao sasa
 
nashaur hata huyu dogo afanye hvo. akauze idea yake nje ili tuendelee kuabudu cha mzungu. mana viongozi wa bongo nyoso sana. mi nashangaaga sana kazi yao n kusifu na kuabudu ili waendelee kuota vitambi WTF[emoji51][emoji52][emoji58]
Ukitaka kujua wabongo hawapendi mafanikio soma comments za watu wanashabikia kufail zaidi kuliko kufanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…