New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Serikali imsaidie apate hatimiliki upesi kabla wezi wa teknologia wa kimataifa hasajatoroka nayo
 
Haya mkuu unadhani Veta ndio watamsaidia kununua izi hardware na kuziweka kwenye meter zote za tanesco nani ana finance hio inshu? Je umeshafanya assessment na kujilizisha kuwa huo mfumo utakuwa economic kuliko huu tulio nao? Mana sisi katika Technology cha kwanza ni Safety na cha pili Economic view point sasa kama binadamu tu mwenye kichwa cha kufikiri fanya izo assessment haswa upande wa economic view
Sisi hatuko emotional driven
 

TANESCO njoo huu uzi unawahusu!
Kuna tuhuma zenu za kujibu, ni kwa nini mlimpiga huyo dogo danadana..!?
 
tatzo urasimu mwingi mno mpaka inakera asee hii nchi ina vipaji kuanzia vya soka mpaka ugunduzi
 
Mbona wabongo tunakatishana tamaa, ngoja nikukumbushe unakumbuka tulianza na mita za kuja kusomwa kama maji kila mwisho wa mwezi, ikabadirika wakaanza zibadirisha wakaweka za luku taratibu, kwa hiyo ni mfumo kila kitu kinakuwa upgraded taratibu.
Angekuwa kasema mchina najua usingesema haya yote
 
TANESCO somen hapa mjirekebishe
 
Auze nje idea yake apige pesa anangoja nn sasa
 
Auze nje idea yake apige pesa anangoja nn sasa
Ninahisi angepata mtu wa kumwonyesha njia angefanya hivyo akawauzia wahindi maana ndiyo wanatengeza mita zetu nyingi halafu wao wangerudi kuwauzia tanesco kwa bei ambayo ni mara 500 zaidi
 
Hayo si yataboreshwa, facebook yenyewe hakuanza kamailivyo imeboreshwa zaidi kwa miaka mingi watu walishahack hadi account ya CEO huko nyuma.
Maxicom africa angeweka wazo lake hapa leo si ajabu ungeuliza swali hili hili.
Umenielewa? Unatakiwa kuelewa kwanza anachodai ''amevumbua'' ndiyo uje na lawama! Kuna ''uvumbuzi'' mwingine ni nightmare za wanaodai kuvumbua na in reality kunakuwa hakuna uvumbuzi wowote. Kwa nini mnakimbilia kulaani na kulaumu jambo ambalo hata hulijui!
 
Wako nyuma waongee na kampuni za simu wawape system,pia ilitakiwa kununua luku Kama vocha vile kuna vifurushi vya luku directly inaingia
 

haifiki popote iyo mkuu , na huo ndio ukweli

kwanza kabisa rejea maelezo ya Wyatt hapo juu

wizara ya nishati isha invest maela mingi sana kwenye mita , hawatokua tayari ku afford kuzibadili/ku modify

ilo wazo la dogo si geni, na icho kidude ni GSM si kigeni, yalishakuja nyuma kitambo (mimi mmoja wapo πŸ˜€ ) yakaishia hewani

kuna kiwanda cha kutengeneza izo smart meter za umeme ( ya idea ya kama uyo dogo ) , kipo Kibaha mpaka Dk. Kalemani alikitembelea lakini mpaka leo sikisikii tena, aliwasisitzia wapunguze bei per piece

Halafu izi mita ambazo Tanesco wanazo, zinatoka China, kampuni ya Clou na Wasion, ukiingia web zao utaona izo smart meter zipo, zinatumia GSM ( ie: unajaza token kwa simu moja kwa moja ) , utazikuta mpaka zile za kuchomeka kujaza umeme (PLC) na za rimoti ( ile dizaini mita inakaa kwenye mstimu alaf unajaza umeme kwa wireless remote , RF )

sasa jiulize Tanesco hawakuziona izo za smart ( GSM ) mpaka waziache wafate izo nyengine ?
 
Rangi nyeusi tatizo sana sisi, weupe wote hawatupendi sio kwanini.... ni kwa sababu hatuna future, hatuaminiki, khusda na chuki ndio mambo tunayoyaamini....... whites wanatuona nuksi sana sisi.
Bosi anakufanyia ngumu ufukuzwe kazi kwa kosa linalozungumzika na huo mshahara hatoupata yeye! Na siku akikukuta nje ya ajira umetusua anainamia chini au anajichekesha kuwa nilijua tu kuwa utatusua.
 
Dogo niliiona hiyo idea yake Twitter na yeye. Alikuwa anafukuzia ile ml 1 ya Mo..

Baada ya kupost hiyo idea watu wengi sana wali appreciate alichokifanya

Mungu ambariki
 
Sasa kwanini wanatumia millions of money kununua mita toka india wakati kumbe kuna kwainda kibaha
 
Basi wangemwambia hakuna uvumbuzi mbona yule wa smart locker alliambiwa kuwa hakuna uvumbuzi
 
Twitter kuna dogo alijitokeza kwenye Tangazo la Mo kuhusu wenye idea nzuri atampa 1M.Huyo dogo akasema ishu kama hiyo na kasema anasoma UDSM sasa sijui kama ni huyo(VETA) au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…