Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Tanesco amesha anza kununua transformer Tanelec hata waziri ameshalitolea ufafanuzi hilo Swala la meter za kibaha sidhani kama hio industry inaweza kuzalisha meter za kutosha demand tuliyo nayo japo sijui capacity yake, Ila pia meter hazitoki india tu zinazotoka india ni Bhadera ila wasion na inhemeter ni chinaPia wanaagizaga hadi transformer nje wakati kuna kiwanda cha kusuka transformer arusha
Sijabahatika kutana na mita made in Tanzania. Juzi nimeona mzee huko kijijini kawaafungia watu umemekawasambazia katengeneza hydro electric plant anasuka hadi transformer zake.Tanesco amesha anza kununua transformer Tanelec hata waziri ameshalitolea ufafanuzi hilo Swala la meter za kibaha sidhani kama hio industry inaweza kuzalisha meter za kutosha demand tuliyo nayo japo sijui capacity yake, Ila pia meter hazitoki india tu zinazotoka india ni Bhadera ila wasion na inhemeter ni china
HahahahahaKumbuka yeye hajajipeleka clouds wao wamemskia huko huko VETA. How inavyo work hakuwa tayari kusema maana kasema ndicho kitu muhimu akisema basi hata mtu mwingine anaweza tengeneza
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.
Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.
Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.
Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.
Sasa mzee nini maana ya authority ivi mtu azalishe tu umeme na kuanza kuuza bado mnamshangilia? Quality ya huo umeme ikoje je ukileta madhara kwa watumiaji either kwao au kwa vifaaa vyao nani tutamlaumu? Sishangai hata Vyakula na vinywaji feki vingi sana juzi nimekutana na Jack Daniel ile Tennessee whiskey fake pamoja na konyagi pia napo utashabikia kuwa hao wabunifu wa hivo vinywaji fake washangiliweSijabahatika kutana na mita made in Tanzania. Juzi nimeona mzee huko kijijini kawaafungia watu umemekawasambazia katengeneza hydro electric plant anasuka hadi transformer zake.
Niende wapi? Mimi ninachohitaji ni kusikia hii kitu imekuwaa implimented tuwe tunanunua umeme kama tunavyolipia ving'amuzi tu masuala ya kununua mara utumiewe token uingize kwakweli siyo kabisa.Kuna kitu kina miss hapa, Yani hashirikiani na tanesco wala yeyote na anaweza nunua umeme ukaingia moja kwa moja?
Na amewanunulia xxl live umeme ukaingia hapo hapo moja kwa moja? Hili haliwezekani, nenda uje utoe maelezo vizuri!
Wamemtembelea wamemsifu, authority zisiwepo kuzuia ubunifu bai ziwepo kuendeleza ubunifu. By the way huyo mzee hajasoma na kila kitu katengeneza yeye na waziri kaagiza tanesco waungane naye sijui wampe ajira kitu kama hicho if not mistaken.Sasa mzee nini maana ya authority ivi mtu azalishe tu umeme na kuanza kuuza bado mnamshangilia? Quality ya huo umeme ikoje je ukileta madhara kwa watumiaji either kwao au kwa vifaaa vyao nani tutamlaumu? Sishangai hata Vyakula na vinywaji feki vingi sana juzi nimekutana na Jack Daniel ile Tennessee whiskey fake pamoja na konyagi pia napo utashabikia kuwa hao wabunifu wa hivo vinywaji fake washangiliwe
Hio habari nimeiona jana, Niwaandishi wa habari ndio wameenda alafu sasa kama anahisi anaweza kufua enough power basi auze kwa Grid mana hio hata sio uvumbuzi principle zipo zinajulikana mtu aunge unge vitu huko aje kutafuta huruma ya authority huo umeme siku ukiunguza nyumba za watu ndio mtajua umuhimu wa authoritiesWamemtembelea wamemsifu, authority zisiwepo kuzuia ubunifu bai ziwepo kuendeleza ubunifu. By the way huyo mzee hajasoma na kila kitu katengeneza yeye na waziri kaagiza tanesco waungane naye sijui wampe ajira kitu kama hicho if not mistaken.
Hivi unajua kwanini CHina iliendelea? Walianza kuahamasisha wagunduzi na wataalaam wa kijadi then wakaanza modernize uvumbuzi na mbinu zao katika kila kitu kuanzia kilimo mpaka huko juu
Sijasema ni ugunduzi lakini ni mtu katengeneza, maana hata vitu tunavyonunua toka kwa wachina siyo udunduzi wao na vitu vingi siyo ugunduzi lakini tunanunua. Mfano kuna mzee kule arusha aliunda trekta dogo zuri sana kwa engine ya pikipiki na linalima, linapukuchua mahindi na linazalisha umeme. Akaomba serikali iwekeze ashirikiane na wataalam waliboreshe halafu wazalishe mengi wayauze chini ya milioni kumi.Hio habari nimeiona jana, Niwaandishi wa habari ndio wameenda alafu sasa kama anahisi anaweza kufua enough power basi auze kwa Grid mana hio hata sio uvumbuzi principle zipo zinajulikana mtu aunge unge vitu huko aje kutafuta huruma ya authority huo umeme siku ukiunguza nyumba za watu ndio mtajua umuhimu wa authorities
Mkuu sasa Katika dunia ya sasa hivi hata wewe tu unatumia vitu vingapi vya nje ambavyo ndani pia viko manufactured tuanzie hata kwenye nguo zako tu unanua brands zipi Kenya wana assemble laptop zao zinaitwa Taifa ila nani anunue hio PC aache reliable brand kama macbook au Dell au Hp?Sijasema ni ugunduzi lakini ni mtu katengeneza, maana hata vitu tunavyonunua toka kwa wachina siyo udunduzi wao na vitu vingi siyo ugunduzi lakini tunanunua. Mfano kuna mzee kule arusha aliunda trekta dogo zuri sana kwa engine ya pikipiki na linalima, linapukuchua mahindi na linazalisha umeme. Akaomba serikali iwekeze ashirikiane na wataalam waliboreshe halafu wazalishe mengi wayauze chini ya milioni kumi.
Lakini hakuna lililofanyika wakat mimi niliona ni mwanzo mzuri kwanza yatakuwa affordable
Hiyo inaanzia kwenye sera ya taifa mkuu, wanaweza kuanzia kwa vitu vichache ambavyo vinazalishwa kwa umakini hapa vinavyotoka nje wakaviwekea tariff kubwa. Inabidi tuanzie mahali flani lakiniMkuu sasa Katika dunia ya sasa hivi hata wewe tu unatumia vitu vingapi vya nje ambavyo ndani pia viko manufactured tuanzie hata kwenye nguo zako tu unanua brands zipi Kenya wana assemble laptop zao zinaitwa Taifa ila nani anunue hio PC aache reliable brand kama macbook au Dell au Hp?