New Bilionea in town aliyebuni mfumo wa kununua umeme unaoingia moja kwa moja

Inafanyaje kazi hio teknolojia?
Je mashine ya luku, imeunganishwa na simu?
 
Mshaurini a'patent hilo wazo kisheria ili ajipatie pesa kama developer

Kesho TANESCO watalitumia na hatowafanya chochote
 
Ye kasema inatengemea na aina ya mita anaweza kia ttach aau akakifunga ndani.
Nadhani baadae itajulikana inafanyaje kazi
Kikubwa serikali na TANESCO washirikiane nae ili ubunifu wake ulete manufaa kwa wateja na bila kumdhurumu. Ni usumbufu sana kununua LUKU na pale unapopata token uangike tena kwenda kuweka hizo namba kwenye mita.
 

Watu wanamihemuko sana na vitu wasivyovijua sasa wanalaumu tanesco. Huyo dogo kama ana idea anachohitaji ni aanzishe kampuni yake start up, apeleke idea zake kwa wawekezaji wa invest kwenye production ya izo idea zake then wa develope prototypes ndiyo sasa waka present makampuni ya kusambaza umeme kama tanesco. Then tanesco wakifanya feasibility study yao waka ona kuna manufaa kwao na wateja then kama budget inaruhusu wanaweza wakampa contract uyo dogo. Sasa unalalamika eti idea na kikorokoro yako watu wa risk investment kwenye idea ambayo haijawa verified.
 
Angekuwa ni mchina kaleta idea ungesikia tanesco walipa bills 30 kufunga system ya kununua luku inaingia moja kwa moja
🤣🤣🤣🤣🤣 nayenyewe mpaka magufuri aone! Hii ndo tz.

Wanalinda ma -PHD yao mkuu! Elimu ya tanzania soma ili uajiriwe.
 
Na kuna mwingine niliona ametengeneza Trasfoma yake kaiweka juu ya nguzo za umeme sa sijajua haitakuwa na athari
 
Watu weusi wana roho mbaya sana, kupata maendeleo ya kweli kunahitajika kwanza kubadili mfumo wa fikra zetu la sivyo tutaendelea kusubiri wazungu tu watuletee wanavyotengeneza.
Asante sana mkuu, leo kuna uzi huko nimeongea kuwa kiumbe cheusi kina roho mbaya sana duniani, watu wakanishambulia sana!! Lakini ukweli utabaki vile vile!!!
 
Basi wangemwambia hakuna uvumbuzi mbona yule wa smart locker alliambiwa kuwa hakuna uvumbuzi
Hivi mnaamini kabisa wao wameshindwa kufanya hicho alichofanya? Mbona siyo kitu special kabisa? Na pia mnajua kuwa Tanesco wana haki ya kununua na kutumia kitu ambacho wao wanaona kina manufaa na kitawasaidia? Huyo ''mvumbuzi'' wenu kwa nini asifanyie market hiyo application yake na auzie wateja directly? Huwezi ku-invert technology halafu ukalazimisha shirika au mtu ainunue. Leo nikikulaimisha wewe kununua sufurua ambayo huna shughuli nayo utakubali? Na ukikataa mimi nina haki ya kulalamika?
 
Hate or get inspired.....mkuu mbona kama umepata wivu kwa uvumbuzi wa kijana
 
Wewe usingependa ukinunua umeme ukaingia moja kwa moja kwenye luku?
 
Si ndiyo nasema kuwa asilalamike eti Tanesco wamembania bali awauzie wateja wa Tanesco directly? Umeelewa?
Tatizo kwa maelezoyake kuna kifaa kinakuwa attached au knafungwa ndani ya luku na kufanya hivyo ni kuingilia miundombinu ya tanesco
 
Tatizo kwa maelezoyake kuna kifaa kinakuwa attached au knafungwa ndani ya luku na kufanya hivyo ni kuingilia miundombinu ya tanesco
Basi pengine waliona drawbacks za kifaa kulingana na assessment waliofanya. Kwa ufahamu wangu, na nina uhakika wa asilimia mia moja kuwa hiyo ni technologia rahisi sana na watengeza mita za luku wakitaka/wakiambiwa wanaweza kuiweka tena kwa ufanisi mkubwa kuliko hiyo.
 
Uzi umejaa ma laymen huu wanalalamika tu sasa sijui dogo ata akiambiwa afanye production ya hizo kits 100 sidhani kama ana huo uwezo kifedha watu wanaambiwa hizo meter zipo ila hawaelewi sijui wanataka dogo abebwe apelekwe wapi? Wanaleta siasa kwenye Pesa hawa
 
@drone drake ame declare apo juu kwamba amefanya hio projecthata mimi chuoni kuna mtu alikuwa na project ya aina hio ya smart meter mwaka wa mwisho huyo Dogo ame grab tu attention ila hakuna uspecial wowote hizo project nenda lab za technical college utakuta zilishakuwa implemented Yani yapo ni inshu za GSM watu wa technical wakipita hapa ndio wataelewa kwamba hicho kitu ni cha kawaida
 
Tatizo kwa maelezoyake kuna kifaa kinakuwa attached au knafungwa ndani ya luku na kufanya hivyo ni kuingilia miundombinu ya tanesco
Unaona kama hii thread. Huyu naye ni mmoja wa ''wagunduzi'' wetu anashauri ndege za abiria kila siti iwekwe parachute kama ndege za kivita ili wakiona ajali inatokea waruke. Kesho atandika email makampuni ya kutengeneza ndege na wakimchunia atakuja kulalamika hapa kuwa ''amevumbua'' lakini wanambania!
Ugunduzi 2020:Ili abiria wasife ktk ajali ya ndege basi watengeneze viti vya kufyatuka kama marubani wa ndege vita
 
Exactly tatizo watu Wana copy na kupaste wanasahau tanesco hizo project proposal wanazo kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…