New couple in town
Mange ndo kiboko yao!

Ubuyu wake mtamu sana

Nasubiria hilo li application lake lenye magumashi, likitengamaa naserereka nalo!

Kwa sasa hivi ntaliwa buku buku zangu bure[emoji57][emoji57]
Mange ana ubuyu mtamu mno
 
Ndio Maana Diamond Alikuwa anakataa ku Manage wasanii Wa Kike kwasababu Ya Scandal kama Hizi?

Unadhani JAMII itamchukuliaje Diamond Siku kweli akija Kutoka na Zuchu Kimapenzi? Si watasema Mdada bila kutoka na BOSS huwezi Kutoboa….

Diamond Hawezi kuja Kufanya huo Upuuzi wa Kutoka na Mfanyakazi wake… NEVER EVER.

Uzuri Siku hizi Diamond Huwa Hajibu Chochote kile, Itaenda siku 3 itapotea.
 
Mkwe mkwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Abee!!!siku nimeweka picha yako kwa status nkaambiwa kwenu wote wazuri!!!Mimi tena ahsante[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!!!!
 
Mkwe yani mi nakwambia mambo mazuri kule pembeni kumbe huku unanimaliza daah
[emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]nasema ukweli wewe ni mrembo!!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom