witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mdomo eeh?Weakest part of her[emoji28] ila overall ni msupu!
Huo tu ndo hauna shape
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdomo eeh?Weakest part of her[emoji28] ila overall ni msupu!
Huo jau ndio kitu pekee kinamtoa kwa K.OMdomo eeh?
Huo tu ndo hauna shape
Yes ..sasa katika mademu wa Domo nani anamfikia, mtoe zuchu hapo[emoji848]Huo jau ndio kitu pekee kinamtoa kwa K.O
ZarinaYes ..sasa katika mademu wa Domo nani anamfikia, mtoe zuchu hapo[emoji848]
yo de bast ma medullaA go dai mabeeebe[emoji1787]
Kweli mwaya. Uzuri wa mtu uko kwa mtuSasa wewe unaona nani anamuingia pale?
Hao wote wana masurgery except her
Anyway kila mtu na macho yake!
Na zile kuunga telegram kwa 50000 looSasa OE anapost nini [emoji134][emoji134][emoji849]...huwa nahisi na kichwa chake kidogo nati zimelegea saa nyingine haeleweki kabisa...
Umbea wake hauna stimu, afuu mzee wa chaka sana yule
Mange ana ubuyu mtamu mnoMange ndo kiboko yao!
Ubuyu wake mtamu sana
Nasubiria hilo li application lake lenye magumashi, likitengamaa naserereka nalo!
Kwa sasa hivi ntaliwa buku buku zangu bure[emoji57][emoji57]
Mange ana ubuyu mtamu mno
Kuna nini kwaniiii@Shunie hichi kipilipili changu naweza tembea bila wig kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wamemdanganya Mrangi
EeenhKipilipili ndch chenyewe[emoji23][emoji23]
Kitu asilia
Ova
1000 tu acha apate banaKasha waokota atawakulia sanaaa helaaa
Bongo ndio nchi rahisi sana Kumtapeli mtuu
Boss nimelewa kesho nikumbushe mliniita kwa ajili ya nini etiNambie boss[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Ingia kwa website haina shida achana na app mamaMange ndo kiboko yao!
Ubuyu wake mtamu sana
Nasubiria hilo li application lake lenye magumashi, likitengamaa naserereka nalo!
Kwa sasa hivi ntaliwa buku buku zangu bure[emoji57][emoji57]
[emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]nasema ukweli wewe ni mrembo!!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mkwe yani mi nakwambia mambo mazuri kule pembeni kumbe huku unanimaliza daah