alidhani anapewa msaada bure na bwana jeje.
Kwanza si alidai bwana jeje ni baba yake?
 
Maza akiwa shangingi mstaafu unategemea nini !?
 
[emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji16][emoji16]wao uzuri wanatafsiri vipii!!!Mimi staki uzuri wa extra ordinary km wa kwako!!!au Shunie yoyote namsifia!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli naona mwisho wa Zuchu kimziki.

Maana wakiachana tu boss ataanza kumbania kimziki na bifu za chini chini na mikataba yenyewe ukitoka WCB kama haupo vyema unapotea.

Ila Zuchu lazima angekuwa na wakati mgumu kumkataa Diamond maana kimziki anamtegemea ,na Diamond hacheleweshi kuwapiga kibendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…