New couple in town
alidhani anapewa msaada bure na bwana jeje.
Kwanza si alidai bwana jeje ni baba yake?
 
Mwacheni boss aweke mbegu bana niliwahi kumsikia hadija kopa akisema kwenye intavyiuu flani baada ya uvumi kuwa zuchu analiwa na Mondi!

Nilitegemea maneno ya busara ila cha ajabu alisema yote heri tu na pia ni raha mtoto wako kuchukuliwa ambako kwenye unafuu, yani maanake palipo na pesa! Toka pale niliacha ujinga nikaanza kutafta hela kwa namna yeyote ile[emoji28]
Maza akiwa shangingi mstaafu unategemea nini !?
 
Sema hata mimi nasifiaga sana. Rafiki zangu wanasemaga sinaga mtu mbaya kila mtu kwangu mzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nikiwaambia mtu fulani mzuri huwa hawaamini mpaka wamuone wenyewe na wanasemaga wengi ninaowasifiaga ni wa kawaida tu
[emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji16][emoji16]wao uzuri wanatafsiri vipii!!!Mimi staki uzuri wa extra ordinary km wa kwako!!!au Shunie yoyote namsifia!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli naona mwisho wa Zuchu kimziki.

Maana wakiachana tu boss ataanza kumbania kimziki na bifu za chini chini na mikataba yenyewe ukitoka WCB kama haupo vyema unapotea.

Ila Zuchu lazima angekuwa na wakati mgumu kumkataa Diamond maana kimziki anamtegemea ,na Diamond hacheleweshi kuwapiga kibendi
 
Back
Top Bottom