Ni kama Cindy na Mopawo,ukiangalia picha za mwanzo za Cindy akiwa na Fally Ipupa hapo ndio utaona maajabu ya mapenzi,kwa Cindy papa Mopao kafa.Cindy ndie alimfanya Mopawo ampige mateke mcheza shoo wake pale Nairobi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiji zito hili mweeeh.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]shangazi alisemaga atafanya tu sajari ya tumbo!anataka avae vipanchunchu!!amkomesha mama Nonoo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kama Cindy na Mopawo,ukiangalia picha za mwanzo za Cindy akiwa na Fally Ipupa hapo ndio utaona maajabu ya mapenzi,kwa Cindy papa Mopao kafa.Cindy ndie alimfanya Mopawo ampige mateke mcheza shoo wake pale Nairobi
Cindy alifanya nini mpk mitama ikatamalaki.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] reymage mkwe muone huyu.
[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]angejua angejua...!!!hakujui mkwe wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…