Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajajichezea ngz,hn cha mawigiNa hips ,plus hukoo nyuma!!ila wimbo wa inspekta ,mtoto kajazia jazia,kafungashia shia!ndo yeye sasa
Vidole vya mkono,vidole vya mguu dahhMzuri huyu Dada sio siri!Mimi namuambiaga daily tena ni mwamke mwenziwe miyee!!!
Sasa hyu couple in twn sjui miwigi kajipiga mkono mmj argggMzuri huyu Dada sio siri!Mimi namuambiaga daily tena ni mwamke mwenziwe miyee!!!
Mtoto mbichi wapi???Yani Zuchu ni mtoto mbichi dah huyo demu kilomita ziko ziko mbali sana
Hahaaa inasikitisha sanaAcha kabissa yaani wamama wa Kiswahili hawana mda ,nilikua naishi uswahili kwetu hukoo baba akitaka kuadhibu watoto wa kike mama anakaa kati anamuambia ampige yeye,maana ndo chumio lake yaani ni mtihani kabisaa!!
Bi Khadija ni hatari sana huyu mama, na wakitambo kwenye game, dah atamnyoosha mama dangote aisee, ka kina Nasma Hamis kidogo walisanda sembuse yeye mama dangote na mwanawe wajipange sanaKama ni kweli, NASEEB NDO ANAENDA KUWA VICTIM.
Zuchu ni mtoto wa KHADIJA KOPA, narudia KHADIJA OMAR KOPA.
Waulize waimba Taarab wote Tanzania na sauti zao na bendi zao.
Sandra kapadia kiboko yake.
Although sipendi mana Zuchu ndo ataacha muziki ila HATAACHA MUZIKI AKAWE MPIKA CHAPATI ZA KURASA.
Tuendelee kutizama.
Ubuyu zote za mange zilishapostiwa miezi miwili before yeye, huyu original east ubuyu wake huwa hot, sana, yaani Hadi taarifa sensitive mange hanaga mpya sikuhizi, mfano habari ya menina, ni ya siku nyingi mno like three months yeye ndio kaitoa juziLakin mange ana ubuyu hot ngoja atulie tu web na app zikae sawa
Hahahahaa umedadavua vyema ...saluteKwa mshepu sawaa!ila kwa kisuraa!!Dona alifunika wotee!demu mkareee sana yule....kwa viuno mobetoo!Kwa akili za maisha Zari!kwa mapenzi alimpenda Wema mpk babu tale alikua anamtuliza mondi ashawahi kulia kipindi kile madame kanunuliwa Range sijui Nissan kwenye bday!
Mzuri sana huyu dada hata live..ana ngozi flan hivi amazing!Naunga mkono hoja
Weee!yule wa mbagala na tmk kiuno nyigu yule Dada!mondi mwenyewe anasalute anaifinyiaaaa!wadada watamu bongo kwa mujibu wa mabazazi wa mjini,Uwoya,Lulu,Missa ,ukiingia huchomoki mpk manusura ya Mungu..majini wale wanadai wenyewe kwa bed eti![emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!!!Hahahahaa umedadavua vyema ...salute
Hivi Hamisa mbona kiuno chake kigumu sana, mi naonaga mwili wote unazungukaa[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1][emoji1][emoji1]hahahahah!Donna kaenda kujiweka buttocks!!!Missa kaenda kuweka pia !naskia aunt nae kaenda kufanya sajari mmesahau ya nini!!!!Mzuri sana huyu dada hata live..ana ngozi flan hivi amazing!
Na shape ndo kabisa [emoji91][emoji91]
Mademu wengine wa Domo hawaelewekagi
Wema alikuwa hot ila akjikwatua na cut cut intestine kwisha habari yake, zari masugery kwa sana, Donna ndo huyo manamuona hajiamiani full buttocks kisu, hamisa ukimuona live na insta ni mbingu na ardhi, ...so kimnana bado ndo kabaki natural [emoji848]
Tatizo kubwa ni njaa tu za watoto wa kibongo...kutoridhika na hali ya maisha na ile hali ya kuwa ukiliwa uta trend sijui huwa watoto wa kike munawaza ule umaarufu na upepo wa pesa uko sexually transmitted🤩Yes diamond ni kavu, huwa nawaza sisi wanawake huwa tunafikiria nini, Yani mtu anatoka na shoga ako na wewe unajipeleka tu hapo hapo.
But kwa zuchu ni next victim wa Diamond aisee
Ila hizi taarifa mnapata wapi wananzengo?[emoji23][emoji23]
Wakivurugana ataangukia konde gang for everibodi
Kiss mi a go kis yu mabebee [emoji23]A go dai mabeeebe[emoji1787]