New couple in town
Na hips ,plus hukoo nyuma!!ila wimbo wa inspekta ,mtoto kajazia jazia,kafungashia shia!ndo yeye sasa
Hajajichezea ngz,hn cha mawigi
Akilala akimka ni yule yule 😂😂😂

Msambwnd tena anaoooo

Ova
 
Acha kabissa yaani wamama wa Kiswahili hawana mda ,nilikua naishi uswahili kwetu hukoo baba akitaka kuadhibu watoto wa kike mama anakaa kati anamuambia ampige yeye,maana ndo chumio lake yaani ni mtihani kabisaa!!
Hahaaa inasikitisha sana
 
Kama ni kweli, NASEEB NDO ANAENDA KUWA VICTIM.

Zuchu ni mtoto wa KHADIJA KOPA, narudia KHADIJA OMAR KOPA.

Waulize waimba Taarab wote Tanzania na sauti zao na bendi zao.
Sandra kapadia kiboko yake.

Although sipendi mana Zuchu ndo ataacha muziki ila HATAACHA MUZIKI AKAWE MPIKA CHAPATI ZA KURASA.

Tuendelee kutizama.
Bi Khadija ni hatari sana huyu mama, na wakitambo kwenye game, dah atamnyoosha mama dangote aisee, ka kina Nasma Hamis kidogo walisanda sembuse yeye mama dangote na mwanawe wajipange sana
 
Lakin mange ana ubuyu hot ngoja atulie tu web na app zikae sawa
Ubuyu zote za mange zilishapostiwa miezi miwili before yeye, huyu original east ubuyu wake huwa hot, sana, yaani Hadi taarifa sensitive mange hanaga mpya sikuhizi, mfano habari ya menina, ni ya siku nyingi mno like three months yeye ndio kaitoa juzi
 
Kwa mshepu sawaa!ila kwa kisuraa!!Dona alifunika wotee!demu mkareee sana yule....kwa viuno mobetoo!Kwa akili za maisha Zari!kwa mapenzi alimpenda Wema mpk babu tale alikua anamtuliza mondi ashawahi kulia kipindi kile madame kanunuliwa Range sijui Nissan kwenye bday!
Hahahahaa umedadavua vyema ...salute

Hivi Hamisa mbona kiuno chake kigumu sana, mi naonaga mwili wote unazungukaa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Naunga mkono hoja
Mzuri sana huyu dada hata live..ana ngozi flan hivi amazing!

Na shape ndo kabisa [emoji91][emoji91]

Mademu wengine wa Domo hawaelewekagi

Wema alikuwa hot ila akjikwatua na cut cut intestine kwisha habari yake, zari masugery kwa sana, Donna ndo huyo manamuona hajiamiani full buttocks kisu, hamisa ukimuona live na insta ni mbingu na ardhi, ...so kimnana bado ndo kabaki natural [emoji848]
 
Hahahahaa umedadavua vyema ...salute

Hivi Hamisa mbona kiuno chake kigumu sana, mi naonaga mwili wote unazungukaa[emoji38][emoji38][emoji38]
Weee!yule wa mbagala na tmk kiuno nyigu yule Dada!mondi mwenyewe anasalute anaifinyiaaaa!wadada watamu bongo kwa mujibu wa mabazazi wa mjini,Uwoya,Lulu,Missa ,ukiingia huchomoki mpk manusura ya Mungu..majini wale wanadai wenyewe kwa bed eti![emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!!!
 
Mzuri sana huyu dada hata live..ana ngozi flan hivi amazing!

Na shape ndo kabisa [emoji91][emoji91]

Mademu wengine wa Domo hawaelewekagi

Wema alikuwa hot ila akjikwatua na cut cut intestine kwisha habari yake, zari masugery kwa sana, Donna ndo huyo manamuona hajiamiani full buttocks kisu, hamisa ukimuona live na insta ni mbingu na ardhi, ...so kimnana bado ndo kabaki natural [emoji848]
[emoji1][emoji1][emoji1]hahahahah!Donna kaenda kujiweka buttocks!!!Missa kaenda kuweka pia !naskia aunt nae kaenda kufanya sajari mmesahau ya nini!!!!

Wadada wanahangaika sana na miili!!Kwa lishepu limkanana lizuri haswaa!sura naona ya kawaida sana!!
 
Yes diamond ni kavu, huwa nawaza sisi wanawake huwa tunafikiria nini, Yani mtu anatoka na shoga ako na wewe unajipeleka tu hapo hapo.
But kwa zuchu ni next victim wa Diamond aisee
Tatizo kubwa ni njaa tu za watoto wa kibongo...kutoridhika na hali ya maisha na ile hali ya kuwa ukiliwa uta trend sijui huwa watoto wa kike munawaza ule umaarufu na upepo wa pesa uko sexually transmitted🤩

Ila miaka yote huwezi sikia kawala watoto wa ma Don iwe wa kibongo ama wa kihindi ama wakina bhakressa au wajukuu zake kama kweli yeye ni bolo yanki😅!

Njaa za hela na umaarufu ndio zinawapeleka watoto wa kibantu kibla sijaona sababu ingine ya maaana. Unashangaa mtu anakula dada na mdogo mtu😅 rafiki na shosti yake na wala hawajali!
 
Back
Top Bottom