New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

Mchina hakulipi mshahara, utajilipa mwenyewe hapo ofisini
 
We ndo yule uliepost Facebook juzi juzi hapa? Au ume I copy kule TBB,TNB


Weka source ulipotoa habari Kama sio wewe au Kama Ni wewe usaidike hapa hapa
 
Acha upumbavu mkuu,hii ni haki yake na anatumia push 🔙 kupata haki yake, service mbovu kama hii lazima iwe exposed na njia pekee ya consumers ni kutofanya nao biashara, hit them hard kwenye mifuko yao
 
Ukienda pale Manzese kwenye ofisi za ABC Bus Service unaweza dhani kuna malori yanakuja kupakia mizigo, maana ipo shazi. ABC hawana longolongo, bei zipo rafiki na mzigo hauna kudelay. ABC inakwenda Mbeya, tumeni mizigo huko, hawa kina New Force tutumie kwa kumpa konda au dereva ile kisela, ila kama ni official achana nao mpaka watakapojifunza customer care.
 
Yes mkuu hii ndio tunaita A1 service, mimi ni timu Sauli, ila welldone kwa Kimbinyiko, mdau mimi nimeshashawishiwa uzuri wa service yenu, going extra mile to satisfy the client, welldone
 
Hata kwenye bombadier. Obama akija Kenya kwa mara ya kwanza akiwa senator mizigo yake ilikuwa misplaced pia.

Obama loses luggage on first trip to Kenya

Ije kuwa kwenye mabasi ya bongo?
Usifananishe ndege na basi za bongo.
Ndege Kuna utaratibu na mizigo inakuwa scanned kuendea mwisho wa safari hivyo kama ulivadiki ndege ukaachwa Kwa vyovyote utakuja kwenye next flight.
Mbongo akiona mzigo umesahaulika basi tayari ashaanza kupanga Dili. Bila.kujiuliza mwenye mzigo alianzia safari wapi na mwisho wa safari ilikuwa wapi asaidiwe kufikiahiwa.
Tamaa imezidi.
 
Nimeona una sambaza bandiko hili sehem tofauti tofauti kwenye mitandao mingine ya kijamii, sijui lengo ni nini?

Hayo mambo yanatokea sana kwenye sector ya usafirishaji.
Hili hata halijamkuta yeye Tapeli tu Moderator walipaswa kuweka ka title cha dokezo tu.

Hii story nimeiona Facebook wiki sasa imepita and guess what inavyoonekana muhusika ni mwanamke huyu jamaa ka copy na ku paste
 
Ana haki ya kutoa dukuduku lake na kuwaonya wengine wachukue tahadhari kabla ya hatari.

Makampuni ya usafirishaji yanatakiwa kuacha ubabaishaji. Scandinavia waliweza nyie mnashindwa nini?

DHL wanawezaje?
So unaamini hii kitu imemkuta yeye au huyu kaamua tu kuendelea kusambaza kitu ambacho kilishatatuliwa tena kilichomtokea mwanamke?

Groups zote za Facebook za biashara kuna hii taarifa na ina wiki sasa
 
Kimbinyiko wako vzr
 
Tukazinguana nikaambiwa unarudishwa dar tena kwa dharau nikajibiwa kama vipi tukulipe tuu thamani ya mzigo wako wanajisahau mimi nikienda kuuza napata faida wao wanajibu hovyo.[emoji3064]

Haya ni majambazi
 

Tambua nimefananisha misplacement tena si ya mzigo tu bali wa rais mtarajiwa wa Marekani.

"She introduced herself as Miss Omoro and explained that my bag had probably been sent on to Johannesburg by mistake."

Bottom line: misplacement hutokea sembuse kwenye basi la bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…