Ninapenda kutoa huu mkasa kama ifuatavyo. Tarehe 12/1/2023 nmetuma mzigo kutoka DSM kwenda Mbeya kama inavo onekana kwenye risiti. Nmekabidhi ofisi ya mbezi imeandikwa Golden Deer na Newforce ipo flow ya pili mwisho kabisa jirani na sehem ya chakula. Mzigo nilitwgemea tarehe 13 jan ufike mbeya tarehe 14 jan asubuhi alie kwenda kupokea ofisini mbeya akaambiwa haupo.
View attachment 2489201
Kilicho fata ni kuzungushwa na kujibiwa hovyo kuto kupokelewa simu tarehe 15 nikaenda mbezi nikaambiwa Gerizetu yani new force hazina matanboy ina dereva wawili mmoja anakua kama tan boy ivo wanasahau kushusha mzigo nikawauliza ni mizigo yote au wangu tuu. Iyo siku waliupakia niliwaskia wakisema gari ina namba DKB ulikuemo humo.
View attachment 2489203
Mzigo nikaambiwa umeachwa makambako nikajiuliza huu ndio utaratibu wa new force. Tukazinguana nikaambiwa unarudishwa dar tena kwa dharau nikajibiwa kama vipi tukulipe tuu thamani ya mzigo wako wanajisahau mimi nikienda kuuza napata faida wao wanajibu hovyo. Kuna jamaa nilipo toka pale ofisini akanidokeza akaniambia hao jamaa ndio michezo yao ukizubaa huo mzigo huto upata nenda polisi. Bahati ninajuana na watu wengi humo njiani.
Mzigo wangu jana 16Jan ukashushwa makambako na new force inayotoka tunduma leo mchana kuna msamaria mwema pale makambako kanisaidia kaupakia Super Rojas umefika mbeya tangu tarehe 12 hadi leo. Hii kitu imeniuma mimi ni vile najuana na wadau wengi sasa raia wasio na connection si ndio wanazulumiwa.? Huyo jamaa hapo Tarimo hajui chochote na ndio nmekabidhi kwake. MIMI NAWASIHI SIO SALAMA KUTUMIA IYO OFISI YA NEW FORCE HAPO MBEZI HAO JAMAA SIO WAAMINIFU. ADMIN HII NI KWA NIA NJEMA KUSAIDIA RAIA.