New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

Afilisike vipi wakati New force na golden deer japo ni kampuni moja Hawa ni mawakala wa viwanda vya mabus ya Kampuni za China
Watu hawajui hilo

Hata mkurugenzi wa New Force ni Mchina

Jamaa wanapromote mabasi ya Zhongtong

Mabasi yote ya New Force ni Zhongtong

Yaani suala la New Force kufilisika ni ndoto
 
Si kweli

Tatizo la New Force ni madereva wako rafu sana barabarani

Zhong Tong ni basi za kazi kama Scania
Scania kwa ubora hana mshindani,labda Benzo,Volvo na Man ndio washindani wake huko duniani.Mchina kaiga vitu vingi kutoka nchi za magharibi bado mabus yanayokuja soko letu sio sawa na yale yanayopelekwa nchi za magharibi kutoka china hili hali scania ina ubora wa kueleweka.
 
Duniani ukimaanisha sokoni Mchina anawakimbiza hao wote
 
New Force ana mabasi yako pale Shekilango namba E vyuma vipya vimepark pale kituo cha mafuta zinasubiri madavoo zianze kupiga masafa.

Achana na hiyo kampuni Sauli atashindana naye ila mwenzake anapiga tupa geuka 7 zinapanda 7 zinashuka
Hiyo si hoja kuwa na vyuma sijui mifupa ya aina fulani au mpya.Kwa nini New Force wanaangukaanguka hovyo?
 
Ushaambiwa shida ni madereva mkuu

Mziki wa New Force hata mkurugenzi Sauli mwenyewe anajua hauwezi hata waungane na Super Feo
Kama ni hivyo,hawaziwezi mbio.Waende mwendo wao wa kobe/maringo tu.Mambio wawaachie wanaoziweza na hawaangushi gari kifo cha mende.
 
Back
Top Bottom