New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

Tatizo ni kubwa sana ila umahili wa hawa madereva umepunguza asilimi 80% za ajali,

jaribu kuendesha gari masaa 10 bila kupumzika kwa spidi ya 80k/h ndio utajua changamoto za barabara miundombini ya single road Dar _Mbeya ni hatari sana na hii serikali ndio chanzo cha ajali zote hizi piga chini ccm piga chini samia
 
Ashenadle
 
Inatamkwa...iyofi iyofi......Enzi zetu kina giriki...kiswele....supu ya mawe iga use n.k.
 
Madereva wa zamani
Babu
Juma wasiwasi
Giriki
Mzee shaibu likunja
Abdalah....hood MB...AR
Nyenza
Wilson mhema
N.k....
Huku iyofi iyofi walikuwa wanatembea na gari mpaka tairi zinanuka...lakini hawajamvunja ntu hata kidole.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…