Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ni kutoka China tena.
Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji.
Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na battery la 22kWh.
Kwa trip nzima fuel consumption ilikua average ya 40 km/L.
Safari nzima ya kuvunja record ilichukua siku 4, na barabara haikua uniform ila ni kupanda na kushuka (tofauti ya elevation ya mita 1,600), joto na baridi (imeendeshwa hadi negative 8 degrees), kwenye rough road na lami.
Gari iliendeshwa na expert wakiwa na wawakilishi kutoka Guinness Record kama mashahidi.
Imagine full take unaenda Mwanza na kurudi.