New Guinness World Record: Hybrid kutoka China imetembea Kilometa 2,200 bila kuongezwa mafuta!

New Guinness World Record: Hybrid kutoka China imetembea Kilometa 2,200 bila kuongezwa mafuta!

Nimeziona YouTube Mchina ameanza zitoa nyingi tuu. Bei Yake alafu anakuanzia $16,000-18,000 hapo. Hizi zinatumia injini yakawaida na battery, unachaji battery lake masaa mawili mpaka manne hivi kama unavyochaji simu home. Kwahiyo hiyo battery tuu yenyewe ya kuchaji inakupa umbali wa kilomita hata 100 kwa chaji bila kugusa wese hapo ndo kapatia. ile injini iliyopo kwenye gari ni kama generetor tuu ukiwa unatumia bettery na battery ikiisha injini inalichaji pia kidogo kila unavyobreak.
Changamoto niliyoiona moja kwa moja ni magari yao wanaendeshea left hand hiyo ndo changamoto ukilileta ujipange keundeshea left na kuwaonga wenye chi wakuruhusu uendeshe gari la left hand.
ila naona ndo tunapoelekea miaka mingine miwili yatajaa mtaani watatutengenezea kwaajili yetu kama yalivyo mabasi ya kwenda mikoani "yotong".
 
Back
Top Bottom