Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
- #21
Ndugu umesoma vizuri nyuzi ?Sadaka ya kujimaliza tunatumia kwenye namba ipi?
Ndugu umesoma vizuri nyuzi ?Sadaka ya kujimaliza tunatumia kwenye namba ipi?
Mpuuzi wewe pepo mchafu hizo prophecy zako zinafanya mtu atubu dhambi na kuziacha ? Na kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake? Ziwe bure au pesa?Hallelujah,
Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.
As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.
Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.
Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.
Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa
Nimeelewa, hutaki sadaka nabii wa bwanA?Ndugu umesoma vizuri nyuzi ?
Endelea kabisa ProphetMungu amekupa ideas nyingi ila umekuwa mzito kufanya uamuzi. Unasita. Mungu anasema kuwa tayari na ufanye lile jambo /wazo utafanikiwa.
Kuna strong ideas kichwani mwako.
Tatizo lako ni moja tu , umekosa utayari
Umejuaje mkuu?Naomba mwangalie huyu Poor Brain trh yake ni 25/6 afu secretarybird ni trh 6/8
Mm ni zaidi ya huyo prophetUmejuaje mkuu?
Wewe ni mganga, ila October 2025 hatoboi ni prophetWale wote wa mwezi wa 12 naomba mnione pm nina siri zenyu za mafanikio
Kuna jambo Mungu alianza au kusema na wewe lakini ukatoka nje.November 02
Mama Ndege come this way!Mm ni zaidi ya huyo prophet
Mungu atafufua yale yaliyokufa ndani yako. Kuna jambo lilikufa , linakwenda kufufuka na kuimarika.6 Machi
😀 bora hata prophetNamalizia pia kama mtahitaji kujiunga na group tupo hapa YAKUZ bin YAKUZ....
Taja tarehe yako malizia na neno YAKUZ
Tuma mwaka wako malizia na neno YAVUZ