kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Nimeshamtajia tarehe nasubiri utabiriMama ndege nakupenda sana ndiyo maana nimekuita prophet akutabirie maisha.
Nimeshamtajia tarehe nasubiri utabiriMama ndege nakupenda sana ndiyo maana nimekuita prophet akutabirie maisha.
Acha kwnz tusubir majibu...😀 Inasikitisha sana mkuu.
Wewe jamaa unaniponda mimi wakati kuna mwenzako mpaka sasa kupitia YAKUZ YAVUZ ana maduka matatu ya simu kariakoo😀 bora hata prophet
We faza una shida si bure...Tunyamaze kwanza, mtumishi wa Mungu alie juu amalizie kutuhudumia.
Simba amekwisha kunguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana MUNGU amenena, ni nani awezaye neno ila kutabiri?
Sema shida nikuagulieHapo sasa magonjwa na mikosi basssss!
Kijana acha vurugu kipindi ibadaWe faza una shida si bure...
Sasa mpaka uprophecy unafanyiwa freestyle we huogopi chief!Acha kwnz tusubir majibu...
Nchi yenyewe ngumu hii, acha turefresh na mitume yetu [emoji23]
NakutafutaKijana acha vurugu kipindi ibada
Baada ya ibada lakiniNakutafuta
haha dah! Indaabha mjukuu tawireWewe jamaa unaniponda mimi wakati kuna mwenzako mpaka sasa kupitia YAKUZ YAVUZ ana maduka matatu ya simu kariakoo
Nakusaka we jamaaBaada ya ibada lakini
Oaaa weee uliona clip ya tx dullah na jamaa ako wa uliwensweeeeehaha dah! Indaabha mjukuu tawire
Mambo ambayo tumesoma zama hizooo kitambo sanaHAHA UNATUMIA
NUMEROLOGY
Mungu anasema usiogope kuanza upya . Anza upya utapata msaada wa kimungu sasa.10-10
Kwenye Maisha usipende kulichukulia kwa umakini kila jambo..Sasa mpaka uprophecy unafanyiwa freestyle we huogopi chief!
ka siku tuzichape