Dickson Edwin Mgaya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 526
- 1,432
10-10
Kuna wito wa Kimungu ndani yako.11-5
Naaam iko hivyo aaaniMama Ndege come this way!
Ujitambui weweWewe ni mganga, ila October 2025 hatoboi ni prophet
Niko hapa ndegeMama Ndege come this way!
Miye October 14Hallelujah,
Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.
As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.
Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.
Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.
Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa
Kuna jambo jipya linakuja . Msubiri Mungu, liko karibu sana. SanaSeptember 3,
Acha kumkorofisha nabii.. [emoji23]Ndio huyu prophet ndio ameanza leo october 2025 hatoboi uprophecy utaisha.
Tulia we mgangaUjitambui wewe
Hapo sasa magonjwa na mikosi basssss!Naaam iko hivyo aaani
Nabii sema neno sema neno 27 OctoberKuna jambo jipya linakuja . Msubiri Mungu, liko karibu sana. Sana
Acha utoto we jamaaTulia we mganga
🔥🔥🔥 PropheciesKuna wito wa Kimungu ndani yako.
Ni kama unajua ila huna uhakika but Mungu anakuthibitishia sasa. Una huduma moja kati ya huduma 5 za Kristo
😀 Inasikitisha sana mkuu.Acha kumkorofisha nabii.. [emoji23]
Mama ndege nakupenda sana ndiyo maana nimekuita prophet akutabirie maisha.Niko hapa ndege
Tunyamaze kwanza, mtumishi wa Mungu alie juu amalizie kutuhudumia.Acha utoto we jamaa
Si una familia ww
19 febNitajie tarehe yako halisi ya kuzaliwa.
Nabii na mie 27 OctoberKuna jambo jipya linakuja . Msubiri Mungu, liko karibu sana. Sana