Prophecies 27 October 🔥🔥🔥🔥🔥Kuwa tayari. Mungu anataka kukutumia. Ila haujakaa tayari.
Wewe ni mtumishi wa Mungu ila umezongwa na mambo mengine
Prophecies 27 October 🔥🔥🔥🔥🔥Kuwa tayari. Mungu anataka kukutumia. Ila haujakaa tayari.
Wewe ni mtumishi wa Mungu ila umezongwa na mambo mengine
Umeshafeli tayari3 April
Zuchu atakuwa mwenye bahati sana.ZUCHU
Sasa kwanini mnasema electronics..Sisi ni Mpimbwe Electronics tunatoa prophecy nyumba kwa nyumba, tunatuma na mikoani.
😀 😀 😀
Mambo ambayo tumesoma zama hizooo kitambo sanaView attachment 3376055
Amini kijanaZuchu atakuwa mwenye bahati sana.
Kila siku kufikishwa kwa kilele si kitu rahisi ujue!
26/04
17/12
hizi ni characteristics, mi nlijua utaniambia lini naukacha umaskini…Una moyo wa huruma, unapenda kusaidia wengine na kuweka amani.
Wakati mwingine unaweza kuwa na wasiwasi kupita kiasi au kutaka kudhibiti mambo kwa sababu ya kujali kupita kiasi.
Unavutiwa na sanaa, uzuri na undani wa kihisia.
Unajichekesha kwa nani?Naona roho ya Uvivu ndani yako🤣
😂😂😂😂😂Punguza kuchat🤣
hizi ni characteristics, mi nlijua utaniambia lini naukacha umaskini…
MtuUnajichekesha kwa nani?
😂😂😂😂😂
😭😭Umeshafeli tayari
Uko karibu na ukweli nabii.Maisha yako ili yasimame vizuri lazima upigane vita ya kiroho
Uongoo 😂😂😂Kabisa
Uongoo 😂😂😂