New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

Inamikosi
Hii ni propaganda ambayo huwa inaeneza wenye husuda kuichafua namba 13.

Lakini nambari 13 ndiyo ahadi yenye Nguvu zaidi iliyotolewa na Mungu ambayo inabadilisha ulimwengu milele!
 
Naona wewe kijana unatakiwa upunguze Matumiz ya Bando
Uziweke kama Akiba
 
Yh wanaichafua
Ila kwa Mungu hana Maana mbaya
Hii ni propaganda ambayo huwa inaeneza wenye husuda kuichafua namba 13.

Lakini nambari 13 ndiyo ahadi yenye Nguvu zaidi iliyotolewa na Mungu ambayo inabadilisha ulimwengu milele!
 
Nabii na mie 27 October

Simba amekwisha kunguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana MUNGU amenena, ni nani awezaye neno ila kutabiri? 🔥🔥🔥
Mungu amekupa nguvu ya kuanzisha jambo kubwa. Usiishi kwenye maono ya wengine.
Ikiwezekana usiajiriwe ndipo utafika mbali
 
Back
Top Bottom