Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Jua njia ambazo Mungu anaongea na weweNifanye nini ili niitike
Jua njia ambazo Mungu anaongea na weweNifanye nini ili niitike
Am sorry man of God. Uliuliza nini?Majibu yangu please..
Utabiri nimezaliwa 12/04Am sorry man of God. Uliuliza nini?
Tanzania tunakabiliana na utekaji hao watekaji wanapo teka wanakuwa na hamu ya.........wanalawiti na kubaka wanao wateka, hapo vipiHallelujah,
Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.
As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.
Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.
Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.
Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa.
08:02 .
MADA IMEFUNGWA.
Mbarikiwe wote
Unaanguka mara nyingi lakini habari njema ni kwamba Mungu anakwenda kuanza upya . Amesamehe yote uliyotenda. New begging is coming22/02
Nakumbuka nimekujibu.Utabiri nimezaliwa 12/04
Asante..Nakumbuka nimekujibu.
But in short. Kaa vizuri na Mungu, maisha yako yana baraka tele.
Ukikaa vizuri na Mungu utakuwa msaada kwa wengi maana baraka zako si chache. It's abundance of blessings which can also benefit to others
NIMEKUJA KWA KUCHELEWA MTUMISHIHallelujah,
Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.
As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.
Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.
Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.
Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa.
08:02 .
MADA IMEFUNGWA.
Mbarikiwe wote
Kundi la watekaji wapo 11Tanzania tunakabiliana na utekaji hao watekaji wanapo teka wanakuwa na hamu ya.........wanalawiti na kubaka wanao wateka, hapo vipi
Can you prophecy the mentioned distinctive characters
Nitajie jina lako la kwanza. Nataka niende deepNIMEKUJA KWA KUCHELEWA MTUMISHI
12 MWEZI WA 1
Mungu anataka kukusimamisha upya but still uko na kifungo.22/11
Nifanye nini ili niitike
Nifanye nini ili niitikie,pia ishara gani zilionesha kuwa niliitwaUliitwa na Mungu hukusikia/hukuwa tayari. Itika sasa
Mtumishi wa Bwana hii imerukwa.01/07
October 2025 hatoboi01/07
Wewe leo usiku piga goti halafu mwambie Mungu niko mbele zako nitumie upendavyo kisha lala. Utajua kakuita kwenye jambo gani. Kama hujapata jibu ndani ya siku 7 utanipa jibu tutaomba pamoja nitakuambia nini ufanye. Mungu ni mwema na ana kusudi ña weweNifanye nini ili niitikie,pia ishara gani zilionesha kuwa niliitwa
Ni kama familia yenu ilikosa utulivu kwa muda mwingi. Kuzaliwa kwako ni kama ulikuwa ujumbe wa Mungu kuwa ataipa utulivu. I hope tangu uzaliwe imetulia na kama haijatulia wewe ndiye unapaswa uombe kwa Mungu familia itulie na Mungu atasikia maana utakuwa umeomba kwa MAPENZI ya MunguMtumishi wa Bwana hii imerukwa.
Sawa sawa Mtumishi wa Bwana.Ni kama familia yenu ilikosa utulivu kwa muda mwingi. Kuzaliwa kwako ni kama ulikuwa ujumbe wa Mungu kuwa ataipa utulivu. I hope tangu uzaliwe imetulia na kama haijatulia wewe ndiye unapaswa uombe kwa Mungu familia itulie na Mungu atasikia maana utakuwa umeomba kwa MAPENZI ya Mungu
AnatoryNitajie jina lako la kwanza. Nataka niende deep