New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

Yes.
Shetani free style zake za ulevi, music of hell, zinaa , uganga kakopi mbinguni.
Mganga akifanya free style divination mnaona sawa tu na pesa mnampa.
Mimi kuwafanyia watu free style prophecy

Yes.
Shetani free style zake za ulevi, music of hell, zinaa , uganga kakopi mbinguni.
Mganga akifanya free style divination mnaona sawa tu na pesa mnampa.
Mimi kuwafanyia watu free style prophecy nongwa

unavosema shetani kakopi free style za mbinguni kama zinaa, uganga, ulevi nk. tangu lini mbinguni kuliwahi kuwa na zinaa?
 
al1
Simaanishi kakopi hayo mambo ya hovyo niliyoyataja.
Namaanisha kuwa shetani anawatumikisha watu kwa free style.
Free style ni chap, na unconditionally.
 
Mungu amekupa ideas nyingi ila umekuwa mzito kufanya uamuzi. Unasita. Mungu anasema kuwa tayari na ufanye lile jambo /wazo utafanikiwa.
Kuna strong ideas kichwani mwako.
Tatizo lako ni moja tu , umekosa utayari
Utabiri huu uliosema ni kwa ajili ya huyu peke yake au kwa woote waliozaliwa tarehe sawa na huyu?

Ngumu kumeza.

Imagine mimi nimezaliwa tar 15/08/1905. Lakini tarehe hiyo sikuzaliwa peke yangu, kuna watu wengi walizaliwa tarehe kama hiyo, na mwaka uliofuata tar kama hiyo kuna watu pia walizaliwa na miaka yooote iliyofuata watu wakazaliwa mpaka tunafika mwaka jana kuna watu wamezaliwa tar 15/08.

Sasa unawezaje kumpatia utabiri mtu mmoja eti ana strong idea ila amekosa uthubutu, je utabiri huo ni kwa watu wooote waliozaliwa tarehe hiyo? Maana wana maisha tofauti tofauti.
 
Swali zuri sana nimekuwa nikijiuliza hata mimi Binafsi kwenye hili suala
 
Prophet of God haitaji kujua Tarehe ya kuzaliwa ya Mtu ama Mwezi alozaliwa, ili amtabilie....! Huo ni Unajimu, Ushirikina.....!

Prophet of God jicho lake Linaona kwenye Ulimwengu wa Roho ambapo hakuna Siri, kama wewe kweli ni Prophet ulitakiwa wewe Ndo umwambie mtu Tarehe alozaliwa na mwezi hata mwaka ili ku confirm kwamba ndiye....!

Nyie ndo mnafanya Watumishi wa Mungu waonekane hawafai..... Acha kutumia vibaya jina la Mungu.
 
Back
Top Bottom