New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

Hallelujah,

Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.

As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.

Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.

Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.

Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa.

08:02 .
MADA IMEFUNGWA.
Mbarikiwe wote
Uvivu wa kilimo
 
  • Kicheko
Reactions: al1

11/4
 
WOTE MLIO TAJA TAREHE ZENU ZA KUZALIWA
MUWE MAKINI
SIO TAREHE YAKO YA KUZALIWA UNAITAJA TAJA OVYO
DUNIA IMEISHA
 
manabii wa siku hizi bhana😂😂 kumbe Kuna freestyle prophecy.
Yes.
Shetani free style zake za ulevi, music of hell, zinaa , uganga kakopi mbinguni.
Mganga akifanya free style divination mnaona sawa tu na pesa mnampa.
Mimi kuwafanyia watu free style prophecy nongwa
 
Back
Top Bottom