New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

Hallelujah,

Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.

As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.

Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.

Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.

Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa
07/05/1985 sema neno kwa kiswahili sanifu.
 
Hallelujah.
Furaha yangu ni kuona watu kama wewe mnaompa Mungu utukufu
Amen.
Mungu ni muaminifu. Utukufu wote urudi kwake, yeye ni Alfa na Omega na sie ni vyombo tu, vilivyo beba jina lake.

Mungu akuongeze kwenye huduma na hekima. Jesus is the King 👑
 
Back
Top Bottom