New Season: Siwema amjibu Ney wa Mitego

Huyo dada nae machepele 2 sio wife material istoshe macho juu hakua tayari kua mke zaidi ya matanuzi n showoff.unaweza kuta yeye ndio aliforce kukaa kwa ney hpo lazma mtu akuchoke 2 mana hukua anakupenda kwa dhati
 
Siwema ana bahati,angekuwa kule kwa Islamic State,IS,wale wangehukumu kukata kichwa yake kwa jambia
 
Duh! sisi wanaume nadhani kila mtu ana wife material wa aina yake! maana ukiangalia kila mtu anaenda ajuavyo.
Kuna jamaa yetu alimchumbia demu siku ya kujitambulisha baba wa yule bint alipigwa na butwaa akamuuliza bint yake nawe umepata mchumba? but now kama miaka 10wapo vizuri wana watoto watatu maisha mazuri hakuna mgogoro wala ngendembwe.
 
thread closed
i like it!!!
 
Airtel kwan hawajaona hyo scandal ya ney? Wasitishe mkataba bwana then wamtoe kabisa kwenye mabango ya airtel, kwanza roho ilikuwa inaniuma kila sehemu ukienda unakutana na picha ya ney nfyuuu

Kwan we pia alikuzalisha ukanyang'anya mtoto?
 
Sio kweli bana.
 
Hakuna kitu kama hiko dada.
 
Siwema Kila muosha.....huoshwaa ukumbuke pia kumuomba msamaha yule mdogo wake LA KAIRO....maana hakusahau pia kwa uliyomfanyia pole kwa yaliyokukuta! kama mwanamke mwenzangu
 
Ulimi siku zote ukiutumia vibaya unaweza kuleta madhara makubwa mno... angevuta subira hasira ziishe.
 
Siwema Kila muosha.....huoshwaa ukumbuke pia kumuomba msamaha yule mdogo wake LA KAIRO....maana hakusahau pia kwa uliyomfanyia pole kwa yaliyokukuta! kama mwanamke mwenzangu

Mkuu yupi huyo otieno au
 
Hahahahaaha....ney wa mitego nafikiri siwema alinasa kwenye mtego wa ney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…