New York: Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Tanzania - Starring Samia Suluhu Hassan, President of The United Republic of Tanzania

Lugha ilikuwa yampiga chenga, kuna maswali aliulizwa, akajibu tofauti na alichoulizwa
Lugha is not a big deal!. Sisi lugha yetu ni Kiswahili, hivyo mtu kutokuwa fluent or perfect kwa lugha za watu, it's not a big deal.
P
 
Tupo tunasikilizia maumivu,jinsi pesa zetu zilivyoliwa na maza yupo kimya.
So tunaona hata wakiongezeka watalii zitaishia mifukoni mwao na hakuna hatua zinazochukuliwa zaidi ya CAG kuja kutusomea tena ngonjera
Be optimistic and not pesimist!.
Be positive and not negative!.
Mama ndio kwanza ameingia,ameisha onyesha dalili njema ya a positive political will kwa maneno na matendo, hivyo kwanza tumsupport, tumsaidie aweze, kisha tumpe muda.
P
 
Acheni maza akadange uko atuletee pesa
Heshima kitu cha bure!. Mama ana umri wa kuwa ni mama yako wa kukuzaa, Kwa jinsi anavyo hangaika kuitafutia nchi funding, kusema maza anadanga sio kumtendea haki!. Kama Mama yako mzazi alipokuwa anakuhangaikia, unaweza kumuita danga, then endelea, lakini kama huwezi kumuita Mama yako aliyekuzaa kuwa anadanga, then usimuite Mama yoyote kuwa anadanga,seuze Kwa rais wa nchi!.
Please!.
P
 
Reactions: Tui

Ukada utawatoa roho nyie watoto wa marehemu. narudia acheni maza AKADANGE Huko labda ukali wa maisha utapungua
 
Magufuli hakuzurura hovyo kusaka msaada ya wazungu, yaani mpaka anakufa alikuwa akizunguka zunguka tu ndani ya nchi yake kukagua miradi na kutumbua majipu.
Sasa huyu mama kazidi kuzurura na ndio maana nikasema anatumia vibaya kodi zetu.
 
Magufuli hakuzurura hovyo kusaka msaada ya wazungu, yaani mpaka anakufa alikuwa akizunguka zunguka tu ndani ya nchi yake kukagua miradi na kutumbua majipu.
Sasa huyu mama kazidi kuzurura na ndio maana nikasema anatumia vibaya kodi zetu.
Mkuu Kambi ya Fisi , kila zama na zama zake, JPM sio tuu hakusafiri, bali pia alizuia wengine wasisafiri kwa lengo la kubana matumizi. Inawezekana kwake na kwako kusafiri ni kuzurura ovyo hivi Mama anavyo piga ma trips mnamuona kama ni kama anazurura ovyo!. No!. Kwanza kusafiri sio kuzurura, kuzurura ni kufanya safari zisizo na malengo, JPM alikuwa ni Inward person, hapendi kusafiri na kujichanganya na wenzake. Anapenda kujifungia ndani tuu.

Samia ni Outward person, outgoing kama JK, ni mtu wa kujichanganya na wenzake kubadilishana mawazo, uzoefu na kupata exposure.

Matokeo ya JPM kujifungia ndani, aliifunga na nchi, hakuwa na exposure hivyo kuna mambo alifanya kishamba. Sasa Samia anafungua nchi. Matokeo utayaona.
P
 
Update.
Event hii ya uzinduzi wa filamu ya Royal Tour haiko live.
Kama kuna member wetu yoyote uko ukumbini, please share, na mimi will share the few clips that I have
P
Hivi Mayalla unataka Uione Halafu uende mayo wapi hii makala,wewe Mayalla mwenyewe Bado unatafuta kazi hapo Lumumba na buku saba yako unayobangaiza hapo Lumumba huna hata ubavu wa kunywa coca-cola pale KFC ,Sasa sijui ukiona utaisadiaje sekta ya utalii.
 
Sijui hii if ya siku hizi imekuwaje?!. Ingekuwa ni ile JF ya enzi zile, saa hizi ungekuta tuna updates zaidi ya members 10!.
Yaani unamaanisha kati ya hao waalikwa zaidi ya 400, hakuna mwana JF yoyote kutu update!.
P
JF IIinyongwa na Magufuli na mlishangilia sana including you. Wewe ulibaki hai kiuandishi kwa sababu ulikuwa side ya opressor. Madhara yake ndio haya sasa. Kwa jinsi waandishi walivyotishika itachukua miaka kupata ujasiri tena.
 
Be optimistic and not pesimist!.
Be positive and not negative!.
Mama ndio kwanza ameingia,ameisha onyesha dalili njema ya a positive political will kwa maneno na matendo, hivyo kwanza tumsupport, tumsaidie aweze, kisha tumpe muda.
P
Ilitakiwa wahusika tayari mamlaka zinafanya Kazi ya kuwashughukilia
 
Point hivi wa chini maslai duni wanateseka wanakusanya kwa uzalendo Ili nchi iwe na pesa tuwe na maendeleo kwa jumla.Lakini wa juu wanazitafuna haswaa tena bila hata huruma, mabilioni na mabilioni na awachukuliwi hatua.Ripot ya CAG isiyofanyiwa Kazi ni SAwa na wimbo wa KILA jumapili kanisani,kama mamlaka hazichukui hatua kuwawajibisha wezi nini umuhimu wa CAG sasa,si SAwa na muimba kwaya tu kanisa.
Point nyingine watu wengi walikuwa wazalendo Sana wamefanya Kazi kwa uaminifu mkubwa leo hii walishastaafu ni masikini mbwa wanajutia uaminifu wao ikiwemo kuchekwa na jamii, serikali imewatupa na uaminifu wao.
Key points serikali kutochukua hatua za upigaji wa wachache ni kuwavunja moyo walipa kodi.
Ina maana wao pekee ndo wenye shida ya pesa,kuliko hawa wa chini wafanyao Kazi kama watumwa kwa maslai mbuzi,huku wanazikusanya kwa kupigwa jua, mvua,kazini masaa 12 tena bila overtime,posho , hardship allowence,na stahiki zote?
Au na wewe umo kwenye mfumo wa upigaji, maana nchi hii imelaaniwa kwa upigaji na majizi ya awamu ya nne yamerudi kazini.
 
Update.
Event hii ya uzinduzi wa filamu ya Royal Tour haiko live.
Kama kuna member wetu yoyote uko ukumbini, please share, na mimi will share the few clips that I have
P
Pascal,
Mm nikidhani uko USA na Mama kumbe uko Bongo?
Kwann hukuomba kibali cha kuwemo kwene msafara wa Rais?
 
Mkuu 'Kalunya', sasa nimekuelewa unachosema, lakini sikubaliani na msimamo wako.

Kwa hiyo, kwa maoni yako, kwa vile wakubwa 'wanapiga' na hawa wengine wote pamoja na uzalendo wao unataka na wao wageuke wawe wapigaji?
Mantiki ya namna hii uliiona wapi?

Unahimiza kila mtumishi aliye na nafasi, asitekeleze majukumu yake kwa uaminifu, kwa vile wakubwa wanapiga?
Unataka kila mwenye nafasi inayomwezesha kupiga, afanye hivyo, kwa sababu asipofanya hivyo, atastaafu akiwa maskini, na watu kama wewe mtakuwa mkimcheka kwa vile hakutumia nafasi yake kwa manufaa yake mwenyewe?

Haya ni mawazo ya kipuuzi kabisa.

Kama uovu unaofanywa na hawa viongozi juu ya nchi hii unakuumiza kama waTanzania wengine wote, huwezi kuja hapa na kushangilia maovu hayo hata kama ni kwa aina ya kukata tamaa kama unavyoonyesha wewe hapa.

Haya mambo ya uandishi wa kuzungukazunguka, ukionekana kushangilia uovu, kumbe nia yako ni kuumia kwa uovu huo, ni uandishi mbovu.

Sema wazi unachotaka kusema, usizunguke kama kusifu kumbe una maana ya kulaani.

Sasa unamulaumu nini huyo bosi hapo juu ambaye hata baiskeli hana, lakini analinda heshima yake na heshima ya nchi yake.

Wewe ni mmoja wa wapuuzi, na nimekuweka kwenye orodha hiyo hapa JF.

"KALUNYA", ni mpuuzi.
Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…