Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #81
Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, mimi mdogo wako nikiwa 50+ naelekea 60, nimepuyanga kivipi?.Kijana wangu Paskali kwa hili umepuyanga
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, mimi mdogo wako nikiwa 50+ naelekea 60, nimepuyanga kivipi?.Kijana wangu Paskali kwa hili umepuyanga
Nani huyo?Lugha ilikuwa yampiga chenga, kuna maswali aliulizwa, akajibu tofauti na alichoulizwa
Duh...!..Nani huyo?
Lugha is not a big deal!. Sisi lugha yetu ni Kiswahili, hivyo mtu kutokuwa fluent or perfect kwa lugha za watu, it's not a big deal.Lugha ilikuwa yampiga chenga, kuna maswali aliulizwa, akajibu tofauti na alichoulizwa
Hatimaye walirusha live, watu bilioni 1 Duniani wameona.Nilijua watarusha live sasa huku tutaona lini hiyo au ndio tutaishia kuchek clips Kwenye social media
Be optimistic and not pesimist!.Tupo tunasikilizia maumivu,jinsi pesa zetu zilivyoliwa na maza yupo kimya.
So tunaona hata wakiongezeka watalii zitaishia mifukoni mwao na hakuna hatua zinazochukuliwa zaidi ya CAG kuja kutusomea tena ngonjera
Heshima kitu cha bure!. Mama ana umri wa kuwa ni mama yako wa kukuzaa, Kwa jinsi anavyo hangaika kuitafutia nchi funding, kusema maza anadanga sio kumtendea haki!. Kama Mama yako mzazi alipokuwa anakuhangaikia, unaweza kumuita danga, then endelea, lakini kama huwezi kumuita Mama yako aliyekuzaa kuwa anadanga, then usimuite Mama yoyote kuwa anadanga,seuze Kwa rais wa nchi!.Acheni maza akadange uko atuletee pesa
Heshima kitu cha bure!. Mama ana umri wa kuwa ni mama yako wa kukuzaa, Kwa jinsi anavyo hangaika kuitafutia nchi funding, kusema maza anadanga sio kumtendea haki!. Kama Mama yako mzazi alipokuwa anakuhangaikia, unaweza kumuita danga, then endelea, lakini kama huwezi kumuita Mama yako aliyekuzaa kuwa anadanga, then usimuite Mama yoyote kuwa anadanga,seuze Kwa rais wa nchi!.
Please!.
P
Ukada utawatoa roho nyie watoto wa marehemu. narudia acheni maza AKADANGE Huko labda ukali wa maisha utapunguaHeshima kitu cha bure!. Mama ana umri wa kuwa ni mama yako wa kukuzaa, Kwa jinsi anavyo hangaika kuitafutia nchi funding, kusema maza anadanga sio kumtendea haki!. Kama Mama yako mzazi alipokuwa anakuhangaikia, unaweza kumuita danga, then endelea, lakini kama huwezi kumuita Mama yako aliyekuzaa kuwa anadanga, then usimuite Mama yoyote kuwa anadanga,seuze Kwa rais wa nchi!.
Please!.
P
Magufuli hakuzurura hovyo kusaka msaada ya wazungu, yaani mpaka anakufa alikuwa akizunguka zunguka tu ndani ya nchi yake kukagua miradi na kutumbua majipu.Mkuu Kambi ya Fisi , tuna tatizo kidogo kwenye eneo la upashanaji habari. Safari ya Marekani sio tuu ni kuzindua filamu, bali kila mwezi April ya kila mwaka ndio muda wa vikao vya maamuzi vya wakubwa wakubwa wa pesa Duniani, yaani IMF, IFC na WB, hivyo Mawaziri wa fedha wa dunia na Magavana wanakutana kudefend maombi ya mikopo, marais wa nchi wakiwepo wanatia uzito, hivyo Mama Samia yuko huko kwa mikutano hiyo, hivyo hiyo ratiba imefanywa kuoanishwa tuu.
Na kila mwishoni mwa September na Mwanzoni mwa October, ni kikao cha UNGA, New York inafurika marais, Samia ndani.
Hivyo wewe ungelijua hili wala usingeuliza.
P
Mkuu Kambi ya Fisi , kila zama na zama zake, JPM sio tuu hakusafiri, bali pia alizuia wengine wasisafiri kwa lengo la kubana matumizi. Inawezekana kwake na kwako kusafiri ni kuzurura ovyo hivi Mama anavyo piga ma trips mnamuona kama ni kama anazurura ovyo!. No!. Kwanza kusafiri sio kuzurura, kuzurura ni kufanya safari zisizo na malengo, JPM alikuwa ni Inward person, hapendi kusafiri na kujichanganya na wenzake. Anapenda kujifungia ndani tuu.Magufuli hakuzurura hovyo kusaka msaada ya wazungu, yaani mpaka anakufa alikuwa akizunguka zunguka tu ndani ya nchi yake kukagua miradi na kutumbua majipu.
Sasa huyu mama kazidi kuzurura na ndio maana nikasema anatumia vibaya kodi zetu.
Hivi Mayalla unataka Uione Halafu uende mayo wapi hii makala,wewe Mayalla mwenyewe Bado unatafuta kazi hapo Lumumba na buku saba yako unayobangaiza hapo Lumumba huna hata ubavu wa kunywa coca-cola pale KFC ,Sasa sijui ukiona utaisadiaje sekta ya utalii.Update.
Event hii ya uzinduzi wa filamu ya Royal Tour haiko live.
Kama kuna member wetu yoyote uko ukumbini, please share, na mimi will share the few clips that I have
P
JF IIinyongwa na Magufuli na mlishangilia sana including you. Wewe ulibaki hai kiuandishi kwa sababu ulikuwa side ya opressor. Madhara yake ndio haya sasa. Kwa jinsi waandishi walivyotishika itachukua miaka kupata ujasiri tena.Sijui hii if ya siku hizi imekuwaje?!. Ingekuwa ni ile JF ya enzi zile, saa hizi ungekuta tuna updates zaidi ya members 10!.
Yaani unamaanisha kati ya hao waalikwa zaidi ya 400, hakuna mwana JF yoyote kutu update!.
P
Ilitakiwa wahusika tayari mamlaka zinafanya Kazi ya kuwashughukiliaBe optimistic and not pesimist!.
Be positive and not negative!.
Mama ndio kwanza ameingia,ameisha onyesha dalili njema ya a positive political will kwa maneno na matendo, hivyo kwanza tumsupport, tumsaidie aweze, kisha tumpe muda.
P
Point hivi wa chini maslai duni wanateseka wanakusanya kwa uzalendo Ili nchi iwe na pesa tuwe na maendeleo kwa jumla.Lakini wa juu wanazitafuna haswaa tena bila hata huruma, mabilioni na mabilioni na awachukuliwi hatua.Ripot ya CAG isiyofanyiwa Kazi ni SAwa na wimbo wa KILA jumapili kanisani,kama mamlaka hazichukui hatua kuwawajibisha wezi nini umuhimu wa CAG sasa,si SAwa na muimba kwaya tu kanisa.Mkuu 'kalunya', nimekusoma mara mbili, lakini bado nashindwa kuelewa hasa lengo lako ni nini na andiko lako hili.
Unataka na hilo libosi liachane na uaminifu, au siyo? Liache 'kudhibiti' watu wale kwa urefu wa kamba zao!
Umekosea sana kuweka haya mawazo yako katiika andiko langu hapo juu.
Hilo 'libosi' kwangu ni jitu linalostahiri pongezi sana, pamoja na matatizo yanayolikabili.
Kwangu mimi, huyo ndiye mTanzania mzalendo, anayelitakia taifa hili mema, bila ya kujali vishawishi vingi vinavyomkabili.
Kama wewe kweli unasimamia mawazo uliyoyaweka hapa, basi wewe ni mmoja wa maadui wa nchi hii mnaostahili kabisa kunyongwa na kufa.
Pascal,Update.
Event hii ya uzinduzi wa filamu ya Royal Tour haiko live.
Kama kuna member wetu yoyote uko ukumbini, please share, na mimi will share the few clips that I have
P
Pascal si mtu wa kujipendekezaPascal,
Mm nikidhani uko USA na Mama kumbe uko Bongo?
Kwann hukuomba kibali cha kuwemo kwene msafara wa Rais?
Mkuu 'Kalunya', sasa nimekuelewa unachosema, lakini sikubaliani na msimamo wako.Point hivi wa chini maslai duni wanateseka wanakusanya kwa uzalendo Ili nchi iwe na pesa tuwe na maendeleo kwa jumla.Lakini wa juu wanazitafuna haswaa tena bila hata huruma, mabilioni na mabilioni na awachukuliwi hatua.Ripot ya CAG isiyofanyiwa Kazi ni SAwa na wimbo wa KILA jumapili kanisani,kama mamlaka hazichukui hatua kuwawajibisha wezi nini umuhimu wa CAG sasa,si SAwa na muimba kwaya tu kanisa.
Point nyingine watu wengi walikuwa wazalendo Sana wamefanya Kazi kwa uaminifu mkubwa leo hii walishastaafu ni masikini mbwa wanajutia uaminifu wao ikiwemo kuchekwa na jamii, serikali imewatupa na uaminifu wao.
Key points serikali kutochukua hatua za upigaji wa wachache ni kuwavunja moyo walipa kodi.
Ina maana wao pekee ndo wenye shida ya pesa,kuliko hawa wa chini wafanyao Kazi kama watumwa kwa maslai mbuzi,huku wanazikusanya kwa kupigwa jua, mvua,kazini masaa 12 tena bila overtime,posho , hardship allowence,na stahiki zote?
Au na wewe umo kwenye mfumo wa upigaji, maana nchi hii imelaaniwa kwa upigaji na majizi ya awamu ya nne yamerudi kazini.