Newcastle United anasiri gani wakuu? Nimefatilia uwezo wake safiri hiii anatisha

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Wakuu hongerani na kazi.

Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league.

Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni kawaida kitobeza timu. Kwa Sasa inasonga vzr Sana kias Cha kuwa tishio Kwa nyingine kama Liverpool. Chelsea nk

Si ajabu wagombania nafasi ya kwanza akawa man city na asernal ingawa ni mapema Sana kusema Hilo Kwa Sasa.


New castle anasiri gani Kwa sabab anashinda Sana mechi zake nanhata kutoa sare tu na vigogo kama man united, man city nk?

Siri ni ipi
 

Attachments

  • Screenshot_20221231-173801.jpg
    69.8 KB · Views: 5
Newcastle ni wakupongezwa hasa kocha wao, pesa ya mwarabu haijatumika sana ukilinganisha na timu nyingine zenye mabosi waarabu kama Man City na wengine, kocha ametengeneza mfumo pale jamaa wana chemistry ya hatari.
 
Tokea ununuliwe na hyo familia ya kitajiri jamaa kila mechi wanashindaa huwenda ikacheza uefa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Karibuni kwenye group la magpies Tanzania tupo wawili mimi na mzee JK
 
Na hata usajili hawajafanya wakutisha hiivyo, nahisi ni molari ya wachezaji,
 
Wiki ijayo anakuja Emirates njoo ushuhudie akichezeshwa sindimba
 
Newcastle ni wakupongezwa hasa kocha wao, pesa ya mwarabu haijatumika sana ukilinganisha na timu nyingine zenye mabosi waarabu kama Man City na wengine, kocha ametengeneza mfumo pale jamaa wana chemistry ya hatari.
Haijatumika sana kwasababu ya financial fair play, inakataza kiwango kikubwa cha pesa ya mmiliki kuingia moja kwa moja kwenye timu, athari yake kama mmiliki akifilisika pia athari zitaikumba clubs kama Leeds na Portsmouth walifilisika mpaka wakashindwa kulipa mishahara
Jina na thamani ya timu kushindana kwenye mashindano makubwa kama Europe na Eufa zinakuza thamani na kiwango cha matumizi kama wachezaji wakubwa,,,, kujibrand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…