Newcastle United Football Club special thread

Na huo ndo mwisho movie yetu pendwa kwa leoView attachment 2761064

Leo madogo wameingia kwenye mfumo tumewakaribisha rasmi epl . Frontline wameanza 1. Barnes 2. Wilson 3.Almron tofauti kabisa na frontline 1. Gordon 2.Isak 3.murphy dhidi ya Ac milan.

Gordon huyu dogo alivyoingia tu mchakamchaka ukaanza upande wa kushoto [emoji23].

Kikosi kimefanyiwa rotation nzuri maana wachezaji 2 tu kati ya 6 waneanza kwenye midfielders na forward .
 
Ila huyu Anthony Gordon ni balaa lingine epl
 
Ila huyu Anthony Gordon ni balaa lingine epl

Dogo anatesa sana mabeki yaani muda wote anataka kwenda mbele na hizo mbio ndo kabisaa hata game ya liverpool alivyotoka tu wakaamua na wao waanze kuja golini kwetu .
 
Chumba hata kiwe kidogo vipi lazima picha ipigwe kama sheria inavyo sema kila win inaenda na winning photo.
 
Dogo anatesa sana mabeki yaani muda wote anataka kwenda mbele na hizo mbio ndo kabisaa hata game ya liverpool alivyotoka tu wakaamua na wao waanze kuja golini kwetu .
Nadhani guimaraes akiwa fit watatengeneza tatizo kubwa sana
 
Tunawangojea wa matofalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…