Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi so wapiga makelele kama nyie wengine tunakuzoom tu unavyohangaika na sisi tunaijua nguvu yetu we know we will bouns back[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuumia kwa pope kunatugarimu sanaView attachment 2839078
Away game zimekuwa ngumu sana kwetu hope eddie anaangalia hili
Positive things ni injuries zinaanza kupungua naona wilson amerudi na longstaff tumsubiri burn na bairnes.
Hahahaha bado sana hatujawa kama man city timu inacheza vizuri na inaenergy ya kutosha sema saikolojia ya wachezaji ina shida maana tukishafungwa goli moja tunapoteana mazimadaaah upepo umekataa tayarii mshakuwa underdog 😀 😀 😀
hamna kitu hapaa mshaflop mkuu.. siwezi wadhamini tenaaHahahaha bado sana hatujawa kama man city timu inacheza vizuri na inaenergy ya kutosha sema saikolojia ya wachezaji ina shida maana tukishafungwa goli moja tunapoteana mazima
Ni suala la muda tu pia yawezekana akili zao zinawaza uefa league bado game za kuosha ila kwa yale mambo yenu yale tuache kwanza utaishia kutu tukana tu burehamna kitu hapaa mshaflop mkuu.. siwezi wadhamini tenaa
Sisi na man u nani ameiaibisha epl after yrs ndo uefa ya kwanza hii achilia mbali kundi lilivyo tafu we did what we can na tumeweka alamaChelsea mbovu kamwe hawezi kuruhusu dortmond au Copenhagen aqualify mbele yake ,inapokuja swala la uefa CL utamktoa Robo ,team kama hizi zinaiabisha epl
Kundi tafu dortmond ,psg,ac milan ?kuna namna ya kucheza champions league mpaka muelewe sio leo wala kesho team za kawaida sana hizo , dortmond na ac milan hawawezi kufuzu mbele ya Liverpool na Chelsea hata wawe wabovu sanaaa.Sisi na man u nani ameiaibisha epl after yrs ndo uefa ya kwanza hii achilia mbali kundi lilivyo tafu we did what we can na tumeweka alama