Newcastle United Football Club special thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio nabii ila kufika February huu Uzi utakuwa wa vichekesho
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmeshaanza kuutelekeza huu Uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Richarlison tena 😢😢😢😢😢
 
IMG_2106.jpg

Away game zimekuwa ngumu sana kwetu hope eddie anaangalia hili

Positive things ni injuries zinaanza kupungua naona wilson amerudi na longstaff tumsubiri burn na bairnes.
 
daaah upepo umekataa tayarii mshakuwa underdog 😀 😀 😀
 
Hahahaha bado sana hatujawa kama man city timu inacheza vizuri na inaenergy ya kutosha sema saikolojia ya wachezaji ina shida maana tukishafungwa goli moja tunapoteana mazima
 
hamna kitu hapaa mshaflop mkuu.. siwezi wadhamini tenaa
 
Ni suala la muda tu pia yawezekana akili zao zinawaza uefa league bado game za kuosha ila kwa yale mambo yenu yale tuache kwanza utaishia kutu tukana tu bure
 
Chelsea mbovu kamwe hawezi kuruhusu dortmond au Copenhagen aqualify mbele yake ,inapokuja swala la uefa CL utamktoa Robo ,team kama hizi zinaiabisha epl
 
Sisi na man u nani ameiaibisha epl after yrs ndo uefa ya kwanza hii achilia mbali kundi lilivyo tafu we did what we can na tumeweka alama
 
Kundi tafu dortmond ,psg,ac milan ?kuna namna ya kucheza champions league mpaka muelewe sio leo wala kesho team za kawaida sana hizo , dortmond na ac milan hawawezi kufuzu mbele ya Liverpool na Chelsea hata wawe wabovu sanaaa.
 
Back
Top Bottom