falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 972
- 2,569
Basi itoshe tuseme ndo tunajifunza nanyi kama walochezasha droo tu walikiri ni tafu group wewe ni nani mpaka uwakatalieKundi tafu dortmond ,psg,ac milan ?kuna namna ya kucheza champions league mpaka muelewe sio leo wala kesho team za kawaida sana hizo , dortmond na ac milan hawawezi kufuzu mbele ya Liverpool na Chelsea hata wawe wabovu sanaaa.