Newcastle United Football Club special thread

Newcastle United Football Club special thread

Kundi tafu dortmond ,psg,ac milan ?kuna namna ya kucheza champions league mpaka muelewe sio leo wala kesho team za kawaida sana hizo , dortmond na ac milan hawawezi kufuzu mbele ya Liverpool na Chelsea hata wawe wabovu sanaaa.
Basi itoshe tuseme ndo tunajifunza nanyi kama walochezasha droo tu walikiri ni tafu group wewe ni nani mpaka uwakatalie
 
Sisi so wapiga makelele kama nyie wengine tunakuzoom tu unavyohangaika na sisi tunaijua nguvu yetu we know we will bouns back

THE MAGPIES FOREVER
Nguvu gani mnayo mmelitia Taifa la uingereza aibu
 
Nilisema mtaburuza mkia na mmeburuza

Kenge nyie
 
Kitendo Cha Man u na Newcastle kuburuza mkia kinafanya nafasi ya Ligi ya Uingereza kupata nafasi ya kupeleka nafasi ya 5 UCL ipotee ,Sasa inabaki kwa Germany na Italy

Only top 2 get a 5th place in UCL

1. Germany, 13.36
2. Italy, 13.14
3. England, 12.13
4. Spain, 12.06
5. France, 10.42

Manjesta na Nyukasto mmeitia aibu Ligi ya malkia
 
Safari pambanieni mkacheze Europa conference league

Mmetia aibu Sana kuburuza mkia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi ndio timu zilizofuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya 2023/24.

Walioongoza Makundi
[emoji629] Bayern
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal
[emoji633] Real Madrid
[emoji633] Real Sociedad
[emoji633] Atlético
[emoji629] Dortmund
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man City
[emoji633] Barcelona

Waliomaliza nafasi ya pili katika Makundi
[emoji1087] Copenhagen
[emoji1179] PSV
[emoji634] Napoli
[emoji634] Inter
[emoji634] Lazio
[emoji632] PSG
[emoji629] RB Leipzig
[emoji1201] Porto

Walioburuza Mkia

1.Manjesta
2.Nyukasto
 
I love seeing Newcastle fans CRY, it's my daily medicine, my weekly energy, my monthly inspiration and my yearly motivation.

Their loss is the only reason i'm still alive, i was born to love and enjoy the failure that they have achieved.
20231214_021640.jpg
 
Newcastle came back from Champions League to celebrate Christmas
 
The two premier league clubs that went to champions league by mistake are back let’s welcome them [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20231214_020019.jpg
 
Umeandika kwa hasira sana hafu wenyewe tunakuangaliiiiiaaa tunaachana nawe hii takataka kama sio arsenal hii mhhh si ndo kwanza tunatengeza timu hayo mengine bonus kwetu hutusumbui
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
AC Milan,PSG ,BVB hazina maajabu yoyote

Bado mmeburuza mkia dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
AC Milan,PSG ,BVB hazina maajabu yoyote

Bado mmeburuza mkia dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa wakabidhi chelsea mbovu awawezi kufuzu mbele yao ,man u na Newcastle ni walevi
 
Ni suala la muda tu pia yawezekana akili zao zinawaza uefa league bado game za kuosha ila kwa yale mambo yenu yale tuache kwanza utaishia kutu tukana tu bure
Mmeshatoka UEFA

Mtakua hamuwazi tena. Tutarajie nini?
 
Safari pambanieni mkacheze Europa conference league

Mmetia aibu Sana kuburuza mkia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Je wangefanya iwe timu ya mwisho kwenye group inaenda conference kama vile ya tatu inavyoenda europa? au ingekuwa unfair advantage ana maana timu itoke champions league ikakutane na timu za uwezo mdogo, hizi timu ndogo hazitapata nafasi kushinda taji?
 
Je wangefanya iwe timu ya mwisho kwenye group inaenda conference kama vile ya tatu inavyoenda europa? au ingekuwa unfair advantage ana maana timu itoke champions league ikakutane na timu za uwezo mdogo, hizi timu ndogo hazitapata nafasi kushinda taji?
Isingekuwa fair
 
Hawa wakabidhi chelsea mbovu awawezi kufuzu mbele yao ,man u na Newcastle ni walevi
Nakubali kabisa ,hili kundi Chelsea angemaliza hata nafasi ya 2

Lile la manjesta angeweza kuongoza kabisa


Ujue alichofanya BVB Ni simple tu ,kabeba points 6 kwa Newcastle kilaza ,kadraw mechi 2 ,kashinde moja nyingine ,kafuzu na kuongoza kundi

Wala hata hajatumia nguvu

Halafu mtu anakwambia kundi lilikuwa gumu

Sema uwezo wetu ulikuwa mdogo
 
Huu Uzi kumbe mmeukimbia ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom