Mambo TS! Mekumisije shem!
Ntaingia pm muda si muda natarajia kuingia TA
kweli? Mbona hujaja?
Jishaue na huyo mume wangu.
Afu niwakute mjute.
mh shosti hata me huniamini?
Hiyo orodha sijaikubali. Hata me sipo
Mfanyage upembuzi yakinifu kwanza
Mimi na miliki mgodi eti sipo ktk orodha wakati uliwowataja ndo wafanyakazi wangu
HahahahaaAcha majungu wakati wewe umependelewa ya kwako ilitakiwa namba 0.01* pie square
Niaje arifu? Mimi sina kwerrre chal'angu.
Mna utajiri wa rohoni
Sisi ndo tutarithi ufalme wa mbinguni